Huo umagharibi ulio kujaa kichwani usikufanye ukajitoa ufahamu.Serikali ya DRC ni ya kizalendo sana kuliko zote Africa kiasi cha kuzuia madini yake kupatikana kwa amani kwa mikataba hadi mabeberu wakaanzisha makundi ya uasi ?
Hata Tanzania ni wanunuzi wa iPhone na iPad za Apple.Huo umagharibi ulio kujaa kichwani usikufanye ukajitoa ufahamu.
Uhitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa kuna wenye nguvu wako nyuma ya m23Rwanda ni kinyago tu.
Si mara moja wala mbili mashirika ya haki za binadamu yamekuwa yakiyashutumu makampuni ya kimarekani ikiwemo Apple kuwa ndo wanunuzi wa kubwa wa madini yanayo chimbwa kiharamu na makundi ya wahalifu na waasi.
Hivi unamjua Beberu?Wengi hawaelewi 50/50,yaani kwao win win hawataki kuisikia labda wao wapate 90,DRC 10.Ndio maana nchi nyingi za Afrika zina madini ila haziwasaidii raia wake na nchi.Sababu ya ubabe na wizi kutoka nchi Magharibi.Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka mwenye uvumbuzi wa haya matatizo aliyebaki ni "beberu" Marekani na wenzake wa Ulaya kwa sababu wao ndio wanaoshikilia mpini wa mfumo wa fedha ulimwenguni kwa sasa na ndio wenye uwezo ya kumdhibiti jirani au majirani wanaodaiwa kujinufaisha pia na huo mgogoro.
DRC iwaangukie hawa mabeberu kuiponya nchi yao. SADC, EAC na AU watulie tu wasitoe milio ya kuingiliwa na mabeberu wazee wa kazi watakapoingia mzigoni, zaidi wawape ushirikiano mkamilifu. Pia Wazalendo uchwara waache kelele za kusema West ndio wanawapa silaha waasi kwa sababu ni kuwavunjia heshima "mabeberu" wenye ufunguo wa mgogoro wakati hata hizo tuhuma zenyewe zinaweza kuwa sio za kweli au hazithibitishiki.
Wanachohitaji mabeberu ni sabubu nzito za maslahi ili kuhusika kikamilifu kuumaliza huo mgogoro. DRC wao watalipia gharama kwa kuwapa mabeberu mikataba exclusive na minono ya miaka 30 ya madini adimu na muhimu, faida igawanywe pasu kwa pasu 50/50 kati ya Congo na Mabeberu.
Mbona madini ya Botswana yamewasaidia raia wake??Hivi unamjua Beberu?Wengi hawaelewi 50/50,yaani kwao win win hawataki kuisikia labda wao wapate 90,DRC 10.Ndio maana nchi nyingi za Afrika zina madini ila haziwasaidii raia wake na nchi.Sababu ya ubabe na wizi kutoka nchi Magharibi.
Mbona madini ya Botswana yamewasaidia raia wake??
Mbona madini ya Botswana yamewasaidia raia wake??
Kwani Botswana rato ni ngapi kwa ngapi?Mbona madini ya Botswana yamewasaidia raia wake??
Botswana almasi yote inachimbwa na Debswana ambayo ni kampuni inayomilikiwa na serikali kwa 50%.
Hiyo 24% share ni makampuni ya uwekezaji ya nje kuwamilikisha wazawa pale ambapo serikali haina interest katika mradi fulani wa madini. Botswana ina madini ya aina nyingi lakini almasi ndio iko kwa wingi zaidi na ndio serikali ina interest nayo zaidi, sheria yao ya madini inasema serikali ina haki ya kuchukua 15% ya share kwenye mradi wowote wa madini lakini kwenye almasi inaweza kuchukua hisa zaidi ya hapo kulingana na makubaliano kati ya serikali na mwekezaji. Walichofanya Botswana kwenye almasi ni kuunda kampuni ya Debswana inayomilikiwa na serikali kwa 50% na De beers group kwa 50%.Sojaiona hamsini.
Hamna kitu kama hiko hakipo 50/50 kwa pebari hamna na nimekuwekea Link ya chombo cha habari chenye heshima duniani kama labda una reference ya hiyo 50/50 uweke hapa.Ila kwa mapepari msamiati win win haupo kuchwani mwao.Hiyo 24% share ni makampuni ya uwekezaji ya nje kuwamilikisha wazawa pale ambapo serikali haina interest katika mradi fulani wa madini. Botswana ina madini ya aina nyingi lakini almasi ndio iko kwa wingi zaidi na ndio serikali ina interest nayo zaidi, sheria yao ya madini inasema serikali ina haki ya kuchukua 15% ya share kwenye mradi wowote wa madini lakini kwenye almasi inaweza kuchukua hisa zaidi ya hapo kulingana na makubaliano kati ya serikali na mwekezaji. Walichofanya Botswana kwenye almasi ni kuunda kampuni ya Debswana inayomilikiwa na serikali kwa 50% na De beers group kwa 50%.
Umeweka link lakini huielewi hiyo habari na wala huijui Debswana.Hamna kitu kama hiko hakipo 50/50 kwa pebari hamna na nimekuwekea Link ya chombo cha habari chenye heshima duniani kama labda una reference ya hiyo 50/50 uweke hapa.Ila kwa mapepari msamiati win win haupo kuchwani mwao.
Uzuri imeonesha kile nilicho kiongea.Umeweka link lakini huielewi hiyo habari na wala huijui Debswana.
Umejitungia maana yake haijawa documented.Itafute mwenyewe.