DRC: Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo ya heshima ya M.T. Kasalu

DRC: Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo ya heshima ya M.T. Kasalu

Kimsingi kongo hawaijui amani wala maendeleo ya kweli ama kiongozi makini...wamepigana na kuuana mmno na kwa miaka mingi.
Tuwaombee
 
Angepewa mume wa mama yetu kipenzi aliyeleta amani,utulivu na utengamano baada ya vita mbaya yachinichini ambapo watu walifungwa,waliporwa pesa na biashara,walitekwa,walipigwa risasi walitoroka nchi,walikandamizwa kuongea,walilalamika vyuma vimekaza,walibaguliwa kimiradi yamaendeleo, walitishwa wasipomchagua yeye na awatakae atawanyima maendeleo nk. nk.
Nenda Kampe wewe inatosha
 
Asilimia 100 unaijua?. Tuache uongo. Yule ibilisi alipendwa kinafiki na kiuoga.
Ewe mnafiki econonist, sisi kama chawa tunawachukia sana washenzi ka wewe wanaobadilika ka kinyonga. Tuna uhakika vipusa ka nyie Rais Dkt Samia akiondoka na kuja mwingine mtabadilika hivyo hivyo. Hebu fungeni midomo yenu, jemedari Dkt Magufuli alishapumzika na tutaendelea kumuenzi kama moja ya wazalendo wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom