misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Ndio alama yenu na mnadai haki zenu... Nakulaga chela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio alama yenu na mnadai haki zenu... Nakulaga chela
Mama Janeth Magufuli' huwa namfananisha sana kimatendo na Mama Maria Nyerere.
Ni watu wanyenyekevu sana na wasiopenda makuu. Kongole nyingi sana ziende kwake.
Wewe unaishije na mumeo?Ni kweli kabisa, Imagine, Mama kaishi na Shetani Miaka yote ile
Hajapewa magufuli mbona unatusumbua hâters wa watuHaters wa Magufuli waina kiniga che hatari!!
With who.We will remember him forever ,RIP JPM
Mume amtoe wapiAngepewa mume wa mama yetu kipenzi aliyeleta amani,utulivu na utengamano baada ya vita mbaya yachinichini ambapo watu walifungwa,waliporwa pesa na biashara,walitekwa,walipigwa risasi walitoroka nchi,walikandamizwa kuongea,walilalamika vyuma vimekaza,walibaguliwa kimiradi yamaendeleo, walitishwa wasipomchagua yeye na awatakae atawanyima maendeleo nk. nk.
Watanzania wengine walivyo WAPUMBAVU, wapo tayari kupokea hata KINYESI ilimradi tu kimetoka Ughaibuni kuliko kupokea kitu chochote chema kutoka Afrika.Tuzo inatolewa na wizara ya nchi ya Congo ni tuzo kweli hiyo? Uchafu tu huu
With you and others.With who.
Usidhani kwamba ukimchukia wewe JPM Watanzania wote wamemchukia. La hasha, wanaomchukia JPM wanaweza wasifike hata 200 kati ya Watanzania takribani 62,000,000.Asilimia 100 unaijua?. Tuache uongo. Yule ibilisi alipendwa kinafiki na kiuoga.
Congo kumejaa vita na wakimbizi wana nn cha ajabu? Mxiuuu! Tuzo my foot.Watanzania wengine walivyo WAPUMBAVU, wapo tayari kupokea hata KINYESI ilimradi tu kimetoka Ughaibuni kuliko kupokea kitu chochote chema kutoka Afrika.