DRC: Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo ya heshima ya M.T. Kasalu

Mama Janeth Magufuli' huwa namfananisha sana kimatendo na Mama Maria Nyerere.

Ni watu wanyenyekevu sana na wasiopenda makuu. Kongole nyingi sana ziende kwake.

Wanaume ma alpha huwa wanapata Wanawake wazuri type hizo!
 
Mume amtoe wapi
 
Tuzo inatolewa na wizara ya nchi ya Congo ni tuzo kweli hiyo? Uchafu tu huu
Watanzania wengine walivyo WAPUMBAVU, wapo tayari kupokea hata KINYESI ilimradi tu kimetoka Ughaibuni kuliko kupokea kitu chochote chema kutoka Afrika.
 
Hongera sana Mama Janeth kwa kupewa hiyo tuzo.
 
Asilimia 100 unaijua?. Tuache uongo. Yule ibilisi alipendwa kinafiki na kiuoga.
Usidhani kwamba ukimchukia wewe JPM Watanzania wote wamemchukia. La hasha, wanaomchukia JPM wanaweza wasifike hata 200 kati ya Watanzania takribani 62,000,000.
 
Hongera sana Mama Janeth kwa kupewa hiyo tuzo.
 
Watanzania wengine walivyo WAPUMBAVU, wapo tayari kupokea hata KINYESI ilimradi tu kimetoka Ughaibuni kuliko kupokea kitu chochote chema kutoka Afrika.
Congo kumejaa vita na wakimbizi wana nn cha ajabu? Mxiuuu! Tuzo my foot.

Huyu mama aliolewa na muuaji dikteta. Wala msimpet pet mwambieni ukweli
 
Nyota ya Magufuli bado inaendelea kungaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…