DRC: Mlima Nyiragongo wa huko Goma waalipuka Volcano

Eeh Jah awasaidie na kuwaepusha watu wa GOMA na dhahama ya janga hili.
 
Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.

Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Ni wewe umepiga hiyo picha?

Halafu mji umejengwa karibu kabisa na mlima hatari namna hiyo?
 
LOooo, wewe ni mtu makini kweli kweli.

Tarakimu zote hizi ulikuwa nazo mahala toka wakati huo?
 
Huko ni balaa tu,hii kanitumia jamaa yangu Mkongo
 

Attachments

  • 255788551594_status_09d4d90c22584edc9e2afbb71441af72.mp4
    1.1 MB
Isije tu ikatifua ziwa Kivu maana mna gas ya sumu mule. Mbaya zaidi waafrika hatuna utamaduni wa kujiaandaa kwa majanga. Mungu awaangalie ndugu zetu wa Goma.
 
Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.

Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Sasa Kama wenyeji wanakimbia ili kuokoa maisha yaombona wewe hukimbii umesimana hapohapo,
Au una roho ya chuma?
 
Du!! Kuzimu inapumua!!! Niwakumbushe kumwamini Yesu, Nyumbani kwetu ni mbinguni. Ukitaka kufikambinguni mwaminj Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako!! Ukitaka jehamamu ikuhusu wewe jifanye kana kwamba Mungu hakuhusu halafu ukifa unapokelewa kuzimu kama rumande kabla ya kutupwa jehamamu katika hukumu ya mwisho. Lakini Yesu anakupenda anataka akuokoe. Tubu dhambi zako na mkaribishe Yesu moyoni mwako awe Bwana na mwokozi wako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…