DRC: Mlima Nyiragongo wa huko Goma waalipuka Volcano

Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.

Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.View attachment 1794379
Ni hatari sana, vipi hizo nyumba karibu na mlima hazijaathirika kweli!
 
 
Kuna ile ya Oldonyolengai ililipuka mwaka 2007 kama sijakosea sana
Ni kweli ililipuka,uzuri Wa oldonyo ikilipuka inarusha ile ash juu inapelekwa mbali na upepo madhara sio makubwa kwa wakazi Wa pale,labda lile joto kali,kila baada ya miaka kumi na sita kama sijakosea hua oldonyo inalipuka.
 
Ni kweli ililipuka,uzuri Wa oldonyo ikilipuka inarusha ile ash juu inapelekwa mbali na upepo madhara sio makubwa kwa wakazi Wa pale,labda lile joto kali,kila baada ya miaka kumi na sita kama sijakosea hua oldonyo inalipuka.
Asante Mkuu kwa kuniwekea habari sawa
 
Tunashukuru wapo watu kule Goma ambao wanasoma JF na wametuletea hizi habari.
Volcano ilipolipuka last time nilikwenda Goma muda mrefu sana baada ya tukio. Nikapelekwa kwenye eneo la Goma lililiothirika.
Nikaambiwa,"Tazama uharibifu uliofanywa na volcano."
Nikasema,"Ndiyo,naona,uharibifu mkubwa. Just a minute! Hili joto ninalohisi sasa hivi ni joto la volcano?"
Nikaambiwa volcano haijapoa mpaka leo.
Kwa hiyo volcano imelipuka tena. It is a joke kwamba wanasema kwamba wanapata adha ya kwenda Gisenyl,Ruanda. Hiyo Gisenyi is only half a kilometer or one kilometer from Goma.
Ile lava Ikishapoa inakuwa mawe,ambayo labda yanatumika kwa ujenzi baadaye.
 
Walokole vichwa vyenu vimejaa utumbo wa samaki.

Yani mmekaa kichaw chawi tu
 
Aisee
Your browser is not able to display this video.
 
Isije kuwa kama pompei, mji mzima ulifukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…