DRC: Mlima Nyiragongo wa huko Goma waalipuka Volcano

Hii nchi ya Congo mbona ina misala mingi hivi asee[emoji22]

Mara mirindimo ya marisasi kila kona, mara volcano, mara njaa...inabidi wafunge na kusali mwaka mzima[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Duh watu wa Congo sijui lini wataishi kwa amani katika nchi yao, mara Volcano, Ebola, vita, nk , Mungu awasaidie kwakweli πŸ€”
 
Vipi waasi wamesalimika!!? Huko milimani ndo chimbo zao.
 
Safi sana, inapendeza...

Hapo Ardhi yao itakua na rutuba sana...
Kingine mlima wao unazidi kuongezeka ukubwa (Urefu)
 
Acha uongo kutoka Goma mpaka Gisenyi pana umbali usiongopee watu
 
Acha uongo kutoka Goma mpaka Gisenyi pana umbali usiongopee watu
Sema umbali wake.
Watu wanatoka Goma,lunch break,wanakwenda Gisenyi, halafu wanarudi Goma.
Wanakwenda kwa miguu. Wana stroll.
Google inasema umbali ni 8 km Goma-Gisenyi.
 
Mungu uwape utulivu hawa raia wa Congo maana kama ni Changamoto wanazipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…