ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mahindi yanapelekwa siku nyingi via kasanga,hiyo gati mpya ya kabwe ni kwa vile iliyopo ina kina kifupi ko upakiaji na ushushaji ni shida.I know those areas physically,nimekwambia hivi hakuna bidhaa zozote upande wa drc za kuingia Tzn zaidi ya Tzn na zambia kupeleka mahindi mchele na saruji sasa biashara itachangamka vipi tena ni kwa volume ndogo labda upande wa pili nako kuje kuchangamkaKutakuwaje na biashara wakati usafiri haukuwepo?. Lazima kuwepo na mazingira bora ya kufanya biashara, usafiri wa uhakika ambao ni bei rahisi ni kichocheo kikubwa sana katika kukuza biashara, utaanza kuona wakulima wa Mahindi wa Sumbawanga wataanza kupeleka mahindi wenyewe upande wa Congo.
Biashara iko Lubumbashi na Goma