DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

Sio rahisi kusikia waumini wa imani zingine wakiingia msikitini na kuua watu kinyama namna hiyo.

Kama huu unaoitwa dini ingekuwa ni dini kwelikweli badala ya utamaduni tu wa kiarabu wasingekuwa wanayafanya haya wanayoyafanya leo.
Wafadhili wa hao magaidi ni USA
 
M23 Sasa wamegeuka kuwa Islamic state?

Hakuna namna Ili Wazungu waendelee kuiba madini lazima waidanganye misukule Yao ya kikristo
 
Write your reply...wazungu wanaanzisha jambo jingine la uchonganishi mradi tu DRC isitulie kwa migogoro mibaya
Acha kuwawaza wazung kweny useng wenu , badala ya ukemee huo ushetan , wew una uhalalisha kwa kuwapa lawama wazungu

Kwamba nyiny ni makatuni hamna akil ya kujua kuua ni dhambi?
 
M23 Sasa wamegeuka kuwa Islamic state?

Hakuna namna Ili Wazungu waendelee kuiba madini lazima waidanganye misukule Yao ya kikristo
Anaeua ni mzungu au mwafrika ? Je unaunga mkono hayo mauji? Kwan hao wanaoua wenzao hawana akil mpk lawana tuwape wazungu ?

Mzungu akikupa silaha ww ukaitumia kuua ndugu zako , je tumlaum mzungu au wew uliyeua ?
 
Hayo ni makundi yanayofadhiliwa na USA ili kuzitisa sehemu zenye rasilimali Africa
Anaeshika bunduki hajui kama anakosea kuua waafrika wenzie? Hata USA asingesaidia kwavilr akil zenu zishacorrupt bas mngetumia njia nyingine kuua waafrika wenzenu
 
Anaeshika bunduki hajui kama anakosea kuua waafrika wenzie? Hata USA asingesaidia kwavilr akil zenu zishacorrupt bas mngetumia njia nyingine kuua waafrika wenzenu
Si pesa mkuu hata wewe ukiambia unalipwa dollars elfu 40 kwa wiki kazi yako kuua tu unaweza usiiache hiyo kazi
 
Wakrist hawaeleweki, Josephy Kibweetere aliwachoma moto Kondoo wake kule Uganda wote wakafa, wakrist walivo wanafiki hakuna aliyelani kile kitendo na badala yake walimsifu mchungaji Kibweetere kwa kuwapeleka Kondoo Mbinguni mapema kukutana na bikira maria mwana wa Mungu (Yesu).
 
Wafadhili wa hao magaidi ni USA
Halafu wahanga wakuu wa ugaidi tena wawe ni haohao wamarekani huo ni uongo kabisa kwani haiwezekani wafadhili wawe Marekani (makafiri) halafu magaidi wawe waislamu, hilo haliwezekani kabisa.

Ugaidi ni mpango wa muda mrefu uliyofeli wa waislam kujaribu kuisilimisha dunia. That's all.
 
Marekani ndo mfadhili wa vikosi vya ugaidi uarabuni huku ufaransa ikifadhili west Africa ndo maana ISIS hajawahi shambulia Israel wala kambi za jeshi USA na marekani hajawahi kuwa mhanga mkuu wa ugaidi
 
MAKAFIRI wamejaa kwenye mfumo wa propaganda za Western, ukitaka kumuua mbwa fanya umpe jina baya na ndivyo picha mbaya inatengenezwa juu ya Waislamu
 
Anaeua ni mzungu au mwafrika ? Je unaunga mkono hayo mauji? Kwan hao wanaoua wenzao hawana akil mpk lawana tuwape wazungu ?

Mzungu akikupa silaha ww ukaitumia kuua ndugu zako , je tumlaum mzungu au wew uliyeua ?
Trump mbona alishasema waafrika na warabu ni wajinga ukiwapa siraha wanauana wenyewe Kwa wenyewe

Na kibaya zaidi mnauana wenyewe Kwa wenyewe Ili muwape Wazungu nafasi ya kuchota rasilimali zenu

Na hao Wazungu wakiisha andaa hivyo vikundi lazima wavipe jina la kiislam Ili kuzidi kuwazuga wajinga

Hapa Sasa tayari Kuna mijinga ya Kiafrika itakubali kuwa wale waasi wa Kongo ni kikundi cha kiislam

Ila Kwa sisi wenye akili tunajua kabisa hiyo ni michezo ya Ufaransa na Marekani Ili waendelee kuiba madini ya Kongo

Ile Mbinu Yao ya kuiba madini Kwa kutumia M23 wameona imeanza kufeli ndio wamebuni hiyo Mbinu mpya kuwa waasi ni Islamic state

Na huo ndio mwanzo muda si mrefu utasikia kikundi cha Islamic state Cha Kongo kimeteka eneo lenye madini mengi

Wagalatia wajinga sana Islamic state na Kongo wapi na wapi
Hiyo dini yenyewe katika misikiti ya Kongo waalimu ni watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…