DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

Marekani ndo mfadhili wa vikosi vya ugaidi uarabuni huku ufaransa ikifadhili west Africa ndo maana ISIS hajawahi shambulia Israel wala kambi za jeshi USA na marekani hajawahi kuwa mhanga mkuu wa ugaidi
Ugaidi hufanywa na waislamu na ndio maana katika kutekeleza uhalifu huo hutamka kwa kiarabu "mungu ni mkubwa".
Uliza hata mtoto wa chekechea kwamba wanaofanya ugaidi ni nani na atakwambia pasipo hata kupepesa macho.
 
Kuna tofauti ya mtu na uislam mfano badhi ya makisa yanafungisha ndoa za mashoga kwa jina la yesu je unataka kusema kuwa ushoga unafanywa na wakristo ?
 
Kuna tofauti ya mtu na uislam mfano badhi ya makisa yanafungisha ndoa za mashoga kwa jina la yesu je unataka kusema kuwa ushoga unafanywa na wakristo ?
Ulisikia wapi shoga anaozeshwa kwa jina la Yesu ?

Usidanganyike na neno Kanisa na Msalaba:
Kuna Satanic Church
Lina msalaba wachungaji pia
 
Hawa Waislamu kila kona wao wanaleta mateseko kwa Wanadamu wenzao; shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…