Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Uamuzi wa Felix ulikua wa kijinga sana kuwapa kandarasi ya ulinzi KDF ,na tulisema humu ,binafsi nilijua tu KDF inaenda kuiba madini ,na hawana uwezo wala nia ya kuizuia M23, mchongo wa Ruto na PK ,ila Felix hakushtukaKenya pigo zao ni za kibepari... Lazima tu waje kuiba, kwa sababu hawana rasilimali nchini kwao... Utajiri wa kenya umetokana na kuiibia TANZANIA, na kutorosha madini kuyapeleka Kenya
Sikupingi ofisaaUamuzi wa Felix ulikua wa kijinga sana kuwapa kandarasi ya ulinzi KDF ,na tulisema humu ,binafsi nilijua tu KDF inaenda kuiba madini ,na hawana uwezo wala nia ya kuizuia M23, mchongo wa Ruto na PK ,ila Felix hakushtuka
Uamuzi wa Felix ulikua wa kijinga sana kuwapa kandarasi ya ulinzi KDF ,na tulisema humu ,binafsi nilijua tu KDF inaenda kuiba madini ,na hawana uwezo wala nia ya kuizuia M23, mchongo wa Ruto na PK ,ila Felix hakushtuka
Nani aliiba ,Mkuu kwenye hiyo Vita?Kama mlivyoiba wakati wa vita vya Uganda?
Kenya pigo zao ni za kibepari... Lazima tu waje kuiba, kwa sababu hawana rasilimali nchini kwao... Utajiri wa kenya umetokana na kuiibia TANZANIA, na kutorosha madini kuyapeleka Kenya
Kama mlivyoiba wakati wa vita vya Uganda?
Bado Palestine huku bongo
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23.
Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza kupambana na M23 walivokua DRC hivo kuonekana kuna ushirikiano na waasi.
Jeshi la Africa mashariki halikuweza wala kutaka kupigana na M23 tofauti na majeshi ya SADC ambayo yaliumaliza mgogoro wa waasi mwaka 2013.
View attachment 2845543
DRC ajiondoe EAC maana seems wanayo solution ya kila janga walilonalo.DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23.
Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza kupambana na M23 walivokua DRC hivo kuonekana kuna ushirikiano na waasi.
Jeshi la Africa mashariki halikuweza wala kutaka kupigana na M23 tofauti na majeshi ya SADC ambayo yaliumaliza mgogoro wa waasi mwaka 2013.
View attachment 2845543
Aliangalia rangi ya wanajeshi wa KDF walivyo na rangi kama swila(whitedent)akajua amepata makamanda.Uamuzi wa Felix ulikua wa kijinga sana kuwapa kandarasi ya ulinzi KDF ,na tulisema humu ,binafsi nilijua tu KDF inaenda kuiba madini ,na hawana uwezo wala nia ya kuizuia M23, mchongo wa Ruto na PK ,ila Felix hakushtuka