DRC yafunga ubalozi Kenya kwa kuituhumu kushirikiana na M23

DRC yafunga ubalozi Kenya kwa kuituhumu kushirikiana na M23

Africa ni mzigo, sasa nchi kama S.A inajifanya ina uchungu zana na HAMAS WA GAZA, ila yenyewe ni member wa SADC ila haina uchungu wowote na mateso kwa watu wa Congo... AU, SADC, EAC kumejaaa useless leaders, matatizo ya Africa ni machache sana ila hawana solutions kabisa, sijui hizi organizations zinamsaidia nani.
 
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23.

Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza kupambana na M23 walivokua DRC hivo kuonekana kuna ushirikiano na waasi.

Jeshi la Africa mashariki halikuweza wala kutaka kupigana na M23 tofauti na majeshi ya SADC ambayo yaliumaliza mgogoro wa waasi mwaka 2013.
View attachment 2845543

Tayari wamewafanya wenzao dili kama kawaida yao.
 
Hapa tu ndipo inaletaga shida sana kumchokoza mtu ambae akifanya jema hujui akifanya baya hujui.. yan yupo kimyaaaaa kama hayupo vile..jw bwanaa 😂
Mkuu JW wanajua kila kitu khs DRC, na miezi ya nyuma wamezuia mzigo mzito nadhani ndio imepelekea hii kukundulika kati ya kdf na m23, jw ni baba wa EAC
 
EAC ina mantiki gani iwapo one member anaingilia mipaka ya mwingine
Yule Memba ni chizi anatumika vby ,mbaya ni kwamba matajiri wake ndio matajiri wetu ndio maana uliona ,tulipokwenda kule aliwaka sana maana alijua kinachotokea
 
Back
Top Bottom