DRC yafunga ubalozi Kenya kwa kuituhumu kushirikiana na M23

Africa ni mzigo, sasa nchi kama S.A inajifanya ina uchungu zana na HAMAS WA GAZA, ila yenyewe ni member wa SADC ila haina uchungu wowote na mateso kwa watu wa Congo... AU, SADC, EAC kumejaaa useless leaders, matatizo ya Africa ni machache sana ila hawana solutions kabisa, sijui hizi organizations zinamsaidia nani.
 

Tayari wamewafanya wenzao dili kama kawaida yao.
 
DRC ajiondoe EAC maana seems wanayo solution ya kila janga walilonalo.

Kwa nini asipeleke jambo lake kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EAC?

Waafrika tuna shida sana kwenye utaratibu
Ajiondoe EAC ?
 
Hapa tu ndipo inaletaga shida sana kumchokoza mtu ambae akifanya jema hujui akifanya baya hujui.. yan yupo kimyaaaaa kama hayupo vile..jw bwanaa 😂
Mkuu JW wanajua kila kitu khs DRC, na miezi ya nyuma wamezuia mzigo mzito nadhani ndio imepelekea hii kukundulika kati ya kdf na m23, jw ni baba wa EAC
 
EAC ina mantiki gani iwapo one member anaingilia mipaka ya mwingine
Yule Memba ni chizi anatumika vby ,mbaya ni kwamba matajiri wake ndio matajiri wetu ndio maana uliona ,tulipokwenda kule aliwaka sana maana alijua kinachotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…