Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Ni ukweli usiona Shaka nilikaa na dread miaka kumi na mbili nimenyoa sasa kwakweli najiona nimerudi ujana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui nilizipendea nini 😒😒😒😒
Vipi kuhusu komwe?
 
Weka basi hiyo sura ya mkeo tuione ndipo tujadili
 
Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu

Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
Pigeni tu mapara warembo, au hamjiamini na ile kauli ya wahenga "kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" kwamba mkinyoa hata panki bado tu mtamelemeta [emoji848][emoji28]
 
Picha tafadhali ili tufanye tathmini
 
Ni ukweli usiona Shaka nilikaa na dread miaka kumi na mbili nimenyoa sasa kwakweli najiona nimerudi ujana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nilizipendea nini [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji122][emoji122][emoji122] umekuwa mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…