Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Vilevile wengi zinawafanya waonekane wako rough yaani sio smart
 
Dread locks zinaongeza komwe jamani [emoji1787][emoji1787]
Wakitokaga kuzitreat komwe linawamba kinyamaaa.
Sasa ukute una nywele chache mbele, ndiyo huko kuzeeka mtoa mada anakosemea.
[emoji2960][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaaa eti komwe linawambwa
 
Ni ukweli usiona Shaka nilikaa na dread miaka kumi na mbili nimenyoa sasa kwakweli najiona nimerudi ujana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nilizipendea nini [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Khaaa
Nashukuru Mungu watu km 4 hivi nawafahamu wamenyoaaa
Loooo
 
[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani kuna ambao tuna dreads narural kabisa, Nyembamba na safi muda wote.
Halafu kuna hizi mnazoingelea ambazo zinabandikwa saloon ' fake dreadlocks' ambazo zimejaa mtaani wanazibana kichwani kama kata utadhani mtu anaenda kuchota maji. Hizo ndo nyingi hazipendezi.
Lakini pia kwa ambao tuna dreads kabisa tunahitaji usafi sana na maintenance. Maana dread ukiziacha kidogo tu zikachafuka unaonekana kama chizi alotoroka milembe🙈😃.
Dreads ni nzuri ila unahitaji kuwa msafi na kuzihudumia na hapo pote ni pesa..uzioshe kila wiki, uzisokote, zikioteana katikati ufanye treaming walau kila mwezi nk. unahitaji pia kuwa na kofia nzuri ya kulalia material zinazofaa . Au ukilala bila kofia uwe tayari kuwa unazigharamia tena kutolewa nyuzi nyuzi zinazoingia kwemye nywele..otherwise ndo ile unaonekana smart kwa mbali halafu mtu akizisogelea dreads anaona zina kama mautango anadhani ni uchafu kumbe ni nyuzi za nguo. Hapo ndo shida inakuja na wengi wanafanya wenye dreads waonekane wachafu..natural dread usiwe bahili ..
Hizo fake dreads aisee zimevamia sana mtaani...na hazipendezi kama natural dreads. Na natural dreads ni safari ya uvumilivu wa hali ya juu sana..natural dreads sio za kila mtu aisee
 
🤣😅😅
 
Nazipenda na sina mpango wa kuzitoa kuliko kusuka nywele zingine ni bora nibakie nahizi naongezea na wigs Basi.
Changamoto yangu ni staili jamani kichwa changu ni kidogo na nywele sio ujazo kiviili [emoji275] naombeni samble ya staili zakuweka.

Ila kiukweli hii nywele inabana bajeti sanaaa mimi nikiwa na mafuta basi kwa mwezi natumia 10k tu.
 
Namaanisha sample
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…