Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya sana. Ukute sasa zimeoteana na mwenye nazo hana habari huwa nacheka.Ni mbayaaa
😂😂😂Mbaya sana. Ukute sasa zimeoteana na mwenye nazo hana habari huwa nacheka.
Fake ndo zimetuharibia ma naturalista[emoji57][emoji1]Jamani kuna ambao tuna dreads narural kabisa, Nyembamba na safi muda wote.
Halafu kuna hizi mnazoingelea ambazo zinabandikwa saloon ' fake dreadlocks' ambazo zimejaa mtaani wanazibana kichwani kama kata utadhani mtu anaenda kuchota maji. Hizo ndo nyingi hazipendezi.
Lakini pia kwa ambao tuna dreads kabisa tunahitaji usafi sana na maintenance. Maana dread ukiziacha kidogo tu zikachafuka unaonekana kama chizi alotoroka milembe[emoji85][emoji2].
Dreads ni nzuri ila unahitaji kuwa msafi na kuzihudumia na hapo pote ni pesa..uzioshe kila wiki, uzisokote, zikioteana katikati ufanye treaming walau kila mwezi nk. unahitaji pia kuwa na kofia nzuri ya kulalia material zinazofaa . Au ukilala bila kofia uwe tayari kuwa unazigharamia tena kutolewa nyuzi nyuzi zinazoingia kwemye nywele..otherwise ndo ile unaonekana smart kwa mbali halafu mtu akizisogelea dreads anaona zina kama mautango anadhani ni uchafu kumbe ni nyuzi za nguo. Hapo ndo shida inakuja na wengi wanafanya wenye dreads waonekane wachafu..natural dread usiwe bahili ..
Hizo fake dreads aisee zimevamia sana mtaani...na hazipendezi kama natural dreads. Na natural dreads ni safari ya uvumilivu wa hali ya juu sana..natural dreads sio za kila mtu aisee
Fake ndo zimetuharibia ma naturalista[emoji57][emoji1]
Nishazitoa my dear zilikuwa na 3yrs,sahivi naweka rough dread[emoji7][emoji7]
Zako zina muda gani?
Aahh sawa dearNishazitoa my dear zilikuwa na 3yrs,sahivi naweka rough dread
[emoji1][emoji1666]halafu ni za kawaida tu,ni vile tu sipendi kusuka sukaAahh sawa dear
Inaonekana una nature ya nywele nzuri mpaka umeeka rough dread
Aah hapo sawa, me nywele zangu za kujaa halafu tabu kweli kuchana nkabidi niweke locs[emoji1][emoji1666]halafu ni za kawaida tu,ni vile tu sipendi kusuka suka
Ewaa hizo ndio nnazo zipenda mimi na zinapendeza kuweka rocks [emoji3526],hata natural curl zinanoga mnooAah hapo sawa, me nywele zangu za kujaa halafu tabu kweli kuchana nkabidi niweke locs
Kufuata mkumbo usiokuhusu.Ni ukweli usiona Shaka nilikaa na dread miaka kumi na mbili nimenyoa sasa kwakweli najiona nimerudi ujana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui nilizipendea nini 😒😒😒😒
Sahihi japo sio mzurAlafu anaona kapendezaaa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni mimi, sa mbona umenipost humu?[emoji849]
Sana... Ila bado haziwezi kufanana na natural. Ndo maana muda wote wamezifungasha furushi kichwani kama mtu anayehama😃Fake ndo zimetuharibia ma naturalista[emoji57][emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2]hatariiSana... Ila bado haziwezi kufanana na natural. Ndo maana muda wote wamezifungasha furushi kichwani kama mtu anayehama[emoji2]