Mi nasikiaga ile tube ya virgin inaondoa mba
Sina uhakika lakini, King'asti msaada hapa
Haya! Kwani huwa mnaziosha mara ngpi kwa wiki?
Sisi tuna dread wako wenye makalio kila mtu na pendekezo lake. Huwezi kujua may be tunavyo vyote viwili. Makalio hata kwa mchina yapo vipi dread zipo kwa mchina?U never knew what was my point...nani kabisha habari ya uhalisi wa dreads?
Sio kwa ushamba huu hata braids sijui ni nywele gani lol
J.lee una dreadz afu una mba? mi najua mba ni dry scalp. Osha nywele na shampoo ya sulphur 8, repair na dreadz moulding gel halafu utumie spray yake kama unaona nywele zinakauka. Mie naosha nywele kila wiki na kurepair tu. Situmii mafuta mengine
Ahsante! Wewe ni mwalimu mzuri. Lakini wapo ambao hawako makini na utunzaji wa hizo nywele.Mara moja....mbili.....inategemea......Ila sio rahisi unuke dread......hazina kawaida ya kunuka kiviiiiile.......
Binafsi nilikuwa nawashwa sana ngozi kabla ya dreads.....lakini baada.....nimesahau hata kama nina ngozi.....
Kwanza zilivyo nyepesiii.
Mie mtihani ni kustyle. Napenda kulala kichwa wazi na nywele free. Kustyle nikiamka shingo inauma
Dada mkubwa na wewe una dreads?J.lee una dreadz afu una mba? mi najua mba ni dry scalp. Osha nywele na shampoo ya sulphur 8, repair na dreadz moulding gel halafu utumie spray yake kama unaona nywele zinakauka. Mie naosha nywele kila wiki na kurepair tu. Situmii mafuta mengine
Dada mkubwa na wewe una dreads?
Sijui sasa ngapi zinawasha wakati kila wiki saloon kuosha na kurepairUkiwa mgeni mjini uwe mpole. Hizi ni nywele asili. Sijawahi ona mtu ana dreadz anajikuna kichwa
Ha ha ha siku ukizikata ntazonunua lolHahaha ndefu hadi zinafunika mkia
[emoji13]
Mi zilifumuka, nikaanza tena nikaenda kwa mtu akazitwist direction tofauti nikafumua nikaanza upya tena asingekua bebs ningekuwa kipara tu make nlichokaMimi mwanzo ilibidi nishikiliwe......maana nilikua nakata.....
Mwanzoni unatakiwa udili na mtu mmoja tu mpaka zitakaposhika ndo utakuwa unaweza enda kwa mtu yoyote kurepair, mi mwanzo nilikuwa najirepair mwenyewe mpaka zilipofikisha mwaka mmojaMi zilifumuka, nikaanza tena nikaenda kwa mtu akazitwist direction tofauti nikafumua nikaanza upya tena asingekua bebs ningekuwa kipara tu make nlichoka
Himo wako wengi? Kama baiskeli inafika nipeleke namie nikajionee mitindo mipya ya locksInaelekea hapa ni kama Himo ngoja niendelee kutega nifaidi wadada marasta ,
Mwenge kuna jamaa anatengeneza vizuri kama upo dar, mi nlianzia hapo alinitengeneza vizuri kwakweli, tutawasiliana nkuelekezeMwezi ujao lazima nianze hilo zoezi. Na mnielekeze sehemu nzuri ya kuzisokota
Mi zilifumuka, nikaanza tena nikaenda kwa mtu akazitwist direction tofauti nikafumua nikaanza upya tena asingekua bebs ningekuwa kipara tu make nlichoka
Kwa Abasi?Mwenge kuna jamaa anatengeneza vizuri kama upo dar, mi nlianzia hapo alinitengeneza vizuri kwakweli, tutawasiliana nkuelekeze