Dreadlocks!

Dreadlocks!

J.lee una dreadz afu una mba? mi najua mba ni dry scalp. Osha nywele na shampoo ya sulphur 8, repair na dreadz moulding gel halafu utumie spray yake kama unaona nywele zinakauka. Mie naosha nywele kila wiki na kurepair tu. Situmii mafuta mengine
Mi nasikiaga ile tube ya virgin inaondoa mba
Sina uhakika lakini, King'asti msaada hapa
 
J.lee una dreadz afu una mba? mi najua mba ni dry scalp. Osha nywele na shampoo ya sulphur 8, repair na dreadz moulding gel halafu utumie spray yake kama unaona nywele zinakauka. Mie naosha nywele kila wiki na kurepair tu. Situmii mafuta mengine

Same here......naosha na kurepair then natumia spray ya sulphur......kwisha mchezo.......
 
Kwanza zilivyo nyepesiii.
Mie mtihani ni kustyle. Napenda kulala kichwa wazi na nywele free. Kustyle nikiamka shingo inauma
Binafsi nilikuwa nawashwa sana ngozi kabla ya dreads.....lakini baada.....nimesahau hata kama nina ngozi.....
 
Mi zilifumuka, nikaanza tena nikaenda kwa mtu akazitwist direction tofauti nikafumua nikaanza upya tena asingekua bebs ningekuwa kipara tu make nlichoka
Mwanzoni unatakiwa udili na mtu mmoja tu mpaka zitakaposhika ndo utakuwa unaweza enda kwa mtu yoyote kurepair, mi mwanzo nilikuwa najirepair mwenyewe mpaka zilipofikisha mwaka mmoja
 
Mi zilifumuka, nikaanza tena nikaenda kwa mtu akazitwist direction tofauti nikafumua nikaanza upya tena asingekua bebs ningekuwa kipara tu make nlichoka

Bebs wanasaidia sana.......kama hakuwa anazisifia na kunipa moyo......wallah nilikuwa natoa.......mwanzoni unafanana na duduwasha kabisa.......
 
Back
Top Bottom