Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
wengi wanasema eti hazina style nyingi. na wadada wengi wenye dreads ni wale nywele zinasumbua kukua.Kuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lol