Dreadlocks!

Dreadlocks!

Dreadlocks zinavutia sana huwa nasema ki moyo moyo siku niki jiajiri ntafuga. Alafu ukute huyo mtu anajua kucheza muzik wa reggae inna di dancehall yaani nakuwa napata furaha ya ajabu.
Hehehehehe kama hajui unamfunza tu. Pon de riddim
 
ImageUploadedByJamiiForums1456351323.549635.jpg



Na hiii je? ha ha haaaa
 
Braids nilishasoma mahala kabla ya kuzisukia uzisuuze na apple cider vinegar. Kuna kemikali ya kiwandani inasababisha kuwasha
Mmh mbona kunitamanisha teh. Nimenyoa nina kama miezi 15 now. Ni rough dreads na braids tu. Hata hizo braids nalazimisha tu, maana sio kwa kuniwasha ndani tu ya week. So huwa nasuka braids, napunguza Naweka rough dreads hivyo hivyo. Ngoja nione kama ntawiwa, maybe ntakujoin. weaves, Mawigi, kuweka dawa kumeshanishinda, basi tu hugu gubichwa kama panzi teh, nahisi ningenyoa para kabisaaa
 
Inabidi uzikate mama. Suka kidogo kama mwezi afu uanze upya. Zitakua kwa sababu una asili ya nywele
Napenda dreadlocks ila ndo sijui nianzie wapi nina nywele ndefu Sana lakini zina dawa.
 
Hata zina mwaka sasa,kwa kweli nazipenda mpaka basi , ila mwanzo mgumu na most of the time nilikuwa nasukia rasta mpaka sasa zimekuwa nabana mwenyewe
 
Hata nimeanza nina mwaka,kwa kweli nazipenda mpaka ila mwanzo mgumu na most of the nilikuwa rasta mpaka sasa zimekuwa nabana mwenyewe
Hongera, ile mwanzoni unaweza ahirisha kwakweli
 
Back
Top Bottom