wengi wanasema eti hazina style nyingi. na wadada wengi wenye dreads ni wale nywele zinasumbua kukua.Kuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lol
Dreads zina styles nyingi tu, hilo la nywele kukua sio kweli bana, ni watu tusio na complications na mawigi tehwengi wanasema eti hazina style nyingi. na wadada wengi wenye dreads ni wale nywele zinasumbua kukua.
nimeona humu styles kibao. ila wanawake wenye dreads nawaonaga classy sana.Dreads zina styles nyingi tu, hilo la nywele kukua sio kweli bana, ni watu tusio na complications na mawigi teh
Unanifanya nivimbe bichwa 😀😛😛😛nimeona humu styles kibao. ila wanawake wenye dreads nawaonaga classy sana.
Ni kweli dreadlocks ni mkombozi wa sisi wavivu wa kusuka rasta, weaves... EtcMie dreads ndo naziweza make kusuka siwezi, weaving wigs nazionaga tu kwa watu
Kwakweli dreds ni mkombozi, mie hata nipewe ofa ya kusuka siwezi yani interest ni sifuriNi kweli dreadlocks ni mkombozi wa sisi wavivu wa kusuka rasta, weaves... Etc
With dreadlocks, no stress...
Hahaha... Acha tu. Kusema ukweli Weaves, kuweka dawa, sijui rasta, binafsi vilinichosha sana... Rasta hizo ndo unavutwa kichwa mpaka vidonda alafu ndani ya wiki tu yamefumuka.Kwakweli dreds ni mkombozi, mie hata nipewe ofa ya kusuka siwezi yani interest ni sifuri
Hangaikeeeeni muwezavyo ila Mwanamke TAKO tu.Umeongezea means umezishonea rasta zingine kwa juu?
Pole utunzaji wa rasta ni easy sana ujitahidi tu kuhudhuria saloon kurepair na upate mtu anaejua kutengeneza vizuri
Yanachosha si kidogoHahaha... Acha tu. Kusema ukweli Weaves, kuweka dawa, sijui rasta, binafsi vilinichosha sana... Rasta hizo ndo unavutwa kichwa mpaka vidonda alafu ndani ya wiki tu yamefumuka.
Hapana kwa kweli...
Zinakubali ila inachukua muda sana hadi zishikane, tofauti na hizi za kawaida zinalock harakaHivi nywele za singa zinakubali dread..!