Dreadlocks!

Ha ha ha we nae kwendraaa takko takko, takko hata mjusi analo
Wajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips

Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.
 
Hii thread inahusu urembo wa nywele dreads, sio makalio
 
Anzisha uzi wako wa mikia tutachangia
 
Anzisha uzi wako wa mikia tutachangia
 
Hata kama...nazungumzia ukweli tu kuwa...hata mwanamke akiwa na upara ila akiwa na Matako makubwa baaasi. Kuwa uyaone au ulizia wenzio.
Usinikere please anzisha thread yako ya matako hapa ni rastas tu
 
We mwenzetu vipi umepotea njia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…