Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Yamfaa nini mwanamke kuwa na dreads mpaka miguuni wakati TAKO halipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana , zinawapendeza sana .Dreadlock ugonjwa wangu hasa zikikaa kwa dem white au lightskin girl wow"
Ha ha ha we nae kwendraaa takko takko, takko hata mjusi analoYamfaa nini mwanamke kuwa na dreads mpaka miguuni wakati TAKO halipo?
Ni nzuri [emoji108] [emoji108]View attachment 325361
Zangu hizo hapo
AhsanteNi nzuri [emoji108] [emoji108]
Umekuza mae hongera mwayaView attachment 325361
Zangu hizo hapo
Wajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hipsHa ha ha we nae kwendraaa takko takko, takko hata mjusi analo
Hii thread inahusu urembo wa nywele dreads, sio makalioWajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips
Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.
AhsanteUmekuza mae hongera mwaya
Anzisha uzi wako wa mikia tutachangiaWajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips
Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.
Mi nasikiaga ile tube ya virgin inaondoa mbaNapenda sana hiyo kitu nasumbuliwa na mba sana sana yani mpaka jana nimeamua kukata nywele nimekua gupala ngoto naombeni anaejua dawa ya mba ansaidie Cc Evelyn Salt, Heaven Sent, miss chagga
Hata kama...nazungumzia ukweli tu kuwa...hata mwanamke akiwa na upara ila akiwa na Matako makubwa baaasi. Kuwa uyaone au ulizia wenzio.Hii thread inahusu urembo wa nywele dreads, sio makalio
Anzisha uzi wako wa mikia tutachangiaWajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips
Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.
Acha kiherehere dada yangu.Anzisha uzi wako wa mikia tutachangia
Usinikere please anzisha thread yako ya matako hapa ni rastas tuHata kama...nazungumzia ukweli tu kuwa...hata mwanamke akiwa na upara ila akiwa na Matako makubwa baaasi. Kuwa uyaone au ulizia wenzio.
Duh pole asee mi sijui dawa ya mbaNilishatumia mpenzi ikadunda yani
Mwezi ujao lazima nianze hilo zoezi. Na mnielekeze sehemu nzuri ya kuzisokotaInabidi uzikate mama. Suka kidogo kama mwezi afu uanze upya. Zitakua kwa sababu una asili ya nywele
We mwenzetu vipi umepotea njia?Wajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips
Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.