Dream League Soccer Special Thread

Juma tano Mungu akijaalia nitakuja kuomba mechi humu .
 
Asante bro
 
Nalipenda sana hili game lkn kuna baadh ya vitu si vielewi, kwa mfano kusajili nashindwa

Kuna muda nacheza inafkia hatua kujenga uwanja ila pale sielew na kwama pia

Msaada mkuu
kusali mchezaji mbona simpo tu ila angalia kwanza una coin ngapi na mchezaji unayemtaka anauzwa coin ngapi na ukiona unaletewa kipengele cha hela basi juwa huna coin za kutosha
 
Nielekeze jinsi ya kutumia code
code namba yoyote ile mnajiamulia na namba hiyo kila mtu anaingiza kwa wakati mmoja ili kuoanisha(ku match) ndipo game itawaunganisha mfano. 2018 basi wote muingize 2018 na mtaona wazungu haoooo
 
Nalipenda sana hili game lkn kuna baadh ya vitu si vielewi, kwa mfano kusajili nashindwa

Kuna muda nacheza inafkia hatua kujenga uwanja ila pale sielew na kwama pia

Msaada mkuu
Pitia comment za nyuma zinaelekeza
 
utakuwa unapenda sana porn videos hasa kutoka xvideos
Hapana inatokana na mzunguko wa damu mwilini coz wengine wanaconcetrate sana kwenye gemu hivyo kutokana na kile kitendo cha furaha basi hormones fulani za furaha nazo zinajikusanya miongoni mwa hizo ni zile zinazokuwa Ktk mzunguko wkt wa kusex na kusababisha hali hiyo bila kutarajia

Source : Trust me bro
 
kwani hicho chanzo ni chakuaminika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…