Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Dream league Soccer kushinda sio kikosi tu hadi namnna ya uchezeshaji na bahati, nafasi unaweza ukakosakosa then adui akaja mara moja tu tena nje ya box na akakufunga na game ikaisha kama utani, DLS hataki hasira ni akili tu basi kwani nguvu tumewaachia Pes na Fifa.
Hii ndio instrument yangu ya ushindi japo nafungwa pia pamoja na ubora wote huu wa kikosi
Screenshot_20220201-152057_DLS22.jpg

Dream league Soccer kushinda sio kikosi tu hadi namnna ya uchezeshaji na bahati, nafasi unaweza ukakosakosa then adui akaja mara moja tu tena nje ya box na akakufunga na game ikaisha kama utani, DLS hataki hasira ni akili tu basi kwani nguvu tumewaachia Pes na Fifa.
Hii ndio instrument yangu ya ushindi japo nafungwa pia pamoja na ubora wote huu wa kikosiView attachment 2104003
Upo vizur mkuu
 
Hiyo attack ukikutana na mtu tuntula utaita maji mma
 
Mimi bado sijapata mda vizuri ila na ndio kwanza nimeanza mchezaji wangu mkubwa ni Icardi na najiamini naweza piga mtu yeyeto humu , ngoja nivuke daraja la kwanza nije kupima ubavu na Wadau humu maana nina usongo na online match.
 
Twende tumapimane
 
Sana tu coz na uzoefu wa kucheza na sijafuNgwa match yoyote may be nikifika legend division ila Napo nta win all match
Shida ya kule game imesetiwa kufungwa ww ila mm nanyakua kwapa tu, saizi nipo quarter final international cup. Nimepoteza diamond cup tu ila mengine yote nataka kubeba. Baada ya kumsajili Mane kikosi kimechangamka sana maana Son alikuwa anategea sana kushambulia. Ni winga ya mchongo ile.
 
We unakikosi kikubwa
Ukubwa wa kikosi sio kufungwa inategemeana na namna unavyochezesha kikosi. Mfano leo nlicheza online yakwao nimepigwa 2 0 na mchezo wa pili nimepigwa 3 2 na kikosi chao zaifu tu ila nilikaa.
 
Back
Top Bottom