Justen12
Senior Member
- Feb 6, 2021
- 104
- 90
Level ipi tena wakati umekionaSio mbaya kizuri ila beki na viungo bado upo level gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level ipi tena wakati umekionaSio mbaya kizuri ila beki na viungo bado upo level gani?
Chek sasa siutaniuwaView attachment 2103999
Upo vizur mkuuDream league Soccer kushinda sio kikosi tu hadi namnna ya uchezeshaji na bahati, nafasi unaweza ukakosakosa then adui akaja mara moja tu tena nje ya box na akakufunga na game ikaisha kama utani, DLS hataki hasira ni akili tu basi kwani nguvu tumewaachia Pes na Fifa.
Hii ndio instrument yangu ya ushindi japo nafungwa pia pamoja na ubora wote huu wa kikosiView attachment 2104003
Daraja la ngapi?Level ipi tena wakati umekiona
Hiyo attack ukikutana na mtu tuntula utaita maji mmaDream league Soccer kushinda sio kikosi tu hadi namnna ya uchezeshaji na bahati, nafasi unaweza ukakosakosa then adui akaja mara moja tu tena nje ya box na akakufunga na game ikaisha kama utani, DLS hataki hasira ni akili tu basi kwani nguvu tumewaachia Pes na Fifa.
Hii ndio instrument yangu ya ushindi japo nafungwa pia pamoja na ubora wote huu wa kikosiView attachment 2104003
Taratibu hata ww utafika, kiungo mtafute mousa sisoko kwa vithumuni vyako hivyoUpo vizur mkuu
Amateur divisionDaraja la ngapi?
Nataka nikatest mitambo na wewHiyo attack ukikutana na mtu tuntula utaita maji mma
Umejitaidi kwa kikosi hicho, umewahi nyakua ndoo?Amateur division
Sana tu coz na uzoefu wa kucheza na sijafuNgwa match yoyote may be nikifika legend division ila Napo nta win all matchUmejitaidi kwa kikosi hicho, umewahi nyakua ndoo?
Twende tumapimaneMimi bado sijapata mda vizuri ila na ndio kwanza nimeanza mchezaji wangu mkubwa ni Icardi na najiamini naweza piga mtu yeyeto humu , ngoja nivuke daraja la kwanza nije kupima ubavu na Wadau humu maana nina usongo na online match.
Tuone kikosi mkuuNipo Tie 13 nime ng'anga'nia hapo kila nikienda 12 napigwa za kutosha
Nitakua online saa 9pmTwende tumapimane
mbona mm naogopwa sana?Nitakua online saa 9pm
We unakikosi kikubwambona mm naogopwa sana?
Shida ya kule game imesetiwa kufungwa ww ila mm nanyakua kwapa tu, saizi nipo quarter final international cup. Nimepoteza diamond cup tu ila mengine yote nataka kubeba. Baada ya kumsajili Mane kikosi kimechangamka sana maana Son alikuwa anategea sana kushambulia. Ni winga ya mchongo ile.Sana tu coz na uzoefu wa kucheza na sijafuNgwa match yoyote may be nikifika legend division ila Napo nta win all match
Ukubwa wa kikosi sio kufungwa inategemeana na namna unavyochezesha kikosi. Mfano leo nlicheza online yakwao nimepigwa 2 0 na mchezo wa pili nimepigwa 3 2 na kikosi chao zaifu tu ila nilikaa.We unakikosi kikubwa
Sijaelewa una maana gani Tie 13Nipo Tie 13 nime ng'anga'nia hapo kila nikienda 12 napigwa za kutosha