Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante broFTS ni DLS ya zamani, wamebadili jina la game lao na FTS wanatumia wahuni tu wa ku mode game. Kiufupi FTS utakayoikuta sasa sio original game bali wamelichezea na unacheza unlimited coin,offline n.k. Nenda google katafute tu FTS 2022 moded game au unlimited coin utapata
Juma tano gani?Juma tano Mungu akijaalia nitakuja kuomba mechi humu .
link gani?Lete link
umesaidiwa?
una diamond nying sana,nenda ka improve training ground ili kuwa na formation nyingi uwanjani, mfano 433 au 4132 etcMkuu hebu nisaidie hapa pls
kusali mchezaji mbona simpo tu ila angalia kwanza una coin ngapi na mchezaji unayemtaka anauzwa coin ngapi na ukiona unaletewa kipengele cha hela basi juwa huna coin za kutoshaNalipenda sana hili game lkn kuna baadh ya vitu si vielewi, kwa mfano kusajili nashindwa
Kuna muda nacheza inafkia hatua kujenga uwanja ila pale sielew na kwama pia
Msaada mkuu
Angalia nafasi ya memory kadi yako i.e punguza vitu na ukapakuwe playstoreHili la 2022 linagoma kuinstall nadhani simu yangu haisupport ngoja nirudishe lile la 2020
code namba yoyote ile mnajiamulia na namba hiyo kila mtu anaingiza kwa wakati mmoja ili kuoanisha(ku match) ndipo game itawaunganisha mfano. 2018 basi wote muingize 2018 na mtaona wazungu haooooNielekeze jinsi ya kutumia code
Pitia comment za nyuma zinaelekezaNalipenda sana hili game lkn kuna baadh ya vitu si vielewi, kwa mfano kusajili nashindwa
Kuna muda nacheza inafkia hatua kujenga uwanja ila pale sielew na kwama pia
Msaada mkuu
Huyo code yake ni T500 ili uweze kucheza naye basi yy ataingiza hiyo T500 na ww utaingiza hiyo hiyo T500 kwa wakati mmoja.Eleza hapa kwa faida ya wote
utakuwa unapenda sana porn videos hasa kutoka xvideos[emoji16][emoji16][emoji16] hata mimi inanitokea sana, sijajua inatokana na nini hasa.
Ya tareh 9 mwezi huuJuma tano gani?
Hapana inatokana na mzunguko wa damu mwilini coz wengine wanaconcetrate sana kwenye gemu hivyo kutokana na kile kitendo cha furaha basi hormones fulani za furaha nazo zinajikusanya miongoni mwa hizo ni zile zinazokuwa Ktk mzunguko wkt wa kusex na kusababisha hali hiyo bila kutarajiautakuwa unapenda sana porn videos hasa kutoka xvideos
kwani hicho chanzo ni chakuaminika?Hapana inatokana na mzunguko wa damu mwilini coz wengine wanaconcetrate sana kwenye gemu hivyo kutokana na kile kitendo cha furaha basi hormones fulani za furaha nazo zinajikusanya miongoni mwa hizo ni zile zinazokuwa Ktk mzunguko wkt wa kusex na kusababisha hali hiyo bila kutarajia
Source : Trust me bro
sawa tunakusubiriYa tareh 9 mwezi huu
Nafasi ipo mzee sema tu limeamua kunilia kibuti tuAngalia nafasi ya memory kadi yako i.e punguza vitu na ukapakuwe playstore
Una muda gani toka uanze kucheza?Mmeona coins hizo? View attachment 2107594