Hemedy rashidy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 244
- 147
Maneno mengii ya ninii twende match 3 tulete matokeo mezaniii halafu ndo tufunge maneno me na weweUshakuwa kibonde wangu ,nikikufunga tena kucheza na mimi otahitaji barua ya mjumbe na mahakama.
Code 6486Twende tena mechi 2 kisha ulete mrejesho humu.
Ngoja nimalizane na huyu boot halaf zam inakuj🫅
Twendeee dogooNaona mshakuwa mnaniogopa master
Haina shida akitokea mtu anawasumbuasumbua msisite kumuelekeza kwangu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Endelea kunikimbiaTwende tena mechi 2 kisha ulete mrejesho humu.
Twende 2 za mwishoKuna member kaja kuni jaribu kala 3-0 kanikimbia imagine ange nifunga angekuja chap kuongea pumba hapa nilicho gundua hum mtu akikubahatisha kukufunga match moja anakimbia kuja kuku tangaza humu sasa kuanzia now sina msamah na yoyote mmechokoza vitaaa[emoji419][emoji3406]🫅
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtandao wako haukua stable tujaribu kesho panapo majaaliwa muda kama wa leo , nikikufunga tena kucheza na mimi mpaka uke na barua kutoka serikalini.
Hizo 3 tutahesabia nani amemfunga mwenzake mechi nyingi zikiwa sawa itaongezwa moja ,nikiwa bingwa hapo nitakuweka rasmi katika orodha ya Viande na nitajipiga Bann mechi na wewe ili nisiue kiwango changu.
Twende taarabu za niniii boot[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo 3 tutahesabia nani amemfunga mwenzake mechi nyingi zikiwa sawa itaongezwa moja ,nikiwa bingwa hapo nitakuweka rasmi katika orodha ya Viande na nitajipiga Bann mechi na wewe ili nisiue kiwango changu.
Hongera sana
Uc lete visingizio bwan mdog twendee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtandao wako haukua stable tujaribu kesho panapo majaaliwa muda kama wa leo , nikikufunga tena kucheza na mimi mpaka uke na barua kutoka serikalini.
Hongera na kwako pia umenipa challenge kidogo ila ukiongeza ujuzii kidogo basii utafika mbaliii bro maan kwa rank ambay nnayo mimi nishapiga watu kipondo sana yanii ule ubao nachafua win 2 ila now makal yamepungua kidog inshallah ntaludiii kwa kishindo now na enjoy 2Hongera sana
Utakuwa mrithi wa kiti changu humu bila ya uwepo wangu hawa kina adriz ungejipondea sana
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app