Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Hongera na kwako pia umenipa challenge kidogo ila ukiongeza ujuzii kidogo basii utafika mbaliii bro maan kwa rank ambay nnayo mimi nishapiga watu kipondo sana yanii ule ubao nachafua win 2 ila now makal yamepungua kidog inshallah ntaludiii kwa kishindo now na enjoy 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekandwa tena ?
 
Acha maneno unajiweza twende maneno mengii ya nin????
Huyu adriz nafikiria Master ningempiga ban katika jukwaa hili maana ana tantalila nying lkn hana kitu

Jana nimemvunja vibayavibaya game ya mwisho akaquit na akasingizia mtandao wakati huo kashapigwa vyuma vinne
Screenshot_20230804-000137_1.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Huyu adriz nafikiria Master ningempiga ban katika jukwaa hili maana ana tantalila nying lkn hana kitu

Jana nimemvunja vibayavibaya game ya mwisho akaquit na akasingizia mtandao wakati huo kashapigwa vyuma vinne View attachment 2707807

Dakika hizo mechi haijaisha ilikuwa zirudi zote na ufungwe.

NimeQuit wapi leta ushahidi ? mimi sina historia ya kuQuit hata nifungwe vipi maana najua ni mchezo.

Hapo si network imekuokoa na Comeback kosa langu lipo wapi ?
Screenshot_20230804-000117.png
 
Huyu adriz nafikiria Master ningempiga ban katika jukwaa hili maana ana tantalila nying lkn hana kitu

Jana nimemvunja vibayavibaya game ya mwisho akaquit na akasingizia mtandao wakati huo kashapigwa vyuma vinne View attachment 2707807

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati anakandwa anazama ghetto hakujua atakandwa Hadi asahau pichu
 
Dakika hizo mechi haijaisha ilikuwa zirudi zote na ufungwe.

NimeQuit wapi leta ushahidi ? mimi sina historia ya kuQuit hata nifungwe vipi maana najua ni mchezo.

Hapo si network imekuokoa na Comeback kosa langu lipo wapi ?View attachment 2707828
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uzi mekuwa mchungu huu kwa adriz

Singasinga nakusaka kwa udi na uvumba, nina jambo langu na wew

Nataka nimalizane na wew first half tu, kipind cha pili nicheze mpira

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Dakika hizo mechi haijaisha ilikuwa zirudi zote na ufungwe.

NimeQuit wapi leta ushahidi ? mimi sina historia ya kuQuit hata nifungwe vipi maana najua ni mchezo.

Hapo si network imekuokoa na Comeback kosa langu lipo wapi ?View attachment 2707828
Uliniita sana bwana adriz, ukatukana sana na kumaliza maneno yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aibu naona mimi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Dakika hizo mechi haijaisha ilikuwa zirudi zote na ufungwe.

NimeQuit wapi leta ushahidi ? mimi sina historia ya kuQuit hata nifungwe vipi maana najua ni mchezo.

Hapo si network imekuokoa na Comeback kosa langu lipo wapi ?View attachment 2707828
Nakutafuta wewe mtot siku ukiyakanyaga tena I swear utakuja kuhadisia humu naomba tu uje useme ukwerii mwenyew kabla cjaongea mimi
 
Dakika hizo mechi haijaisha ilikuwa zirudi zote na ufungwe.

NimeQuit wapi leta ushahidi ? mimi sina historia ya kuQuit hata nifungwe vipi maana najua ni mchezo.

Hapo si network imekuokoa na Comeback kosa langu lipo wapi ?View attachment 2707828
Dk 56 ushapigw goal 4 mzee umeogop aibu uka quit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanii wewe ndo una level ya kucheza mimi lakinii bado uwezo wako mdogo ukiingia siku ukiingia kwenye mfumo wangu utajuta kunifahamu I swear pia maua yng uc sahawu kunipa 🫅
Aisee!

Hilo la kuingia ktk mfumo itabid wew ndo ujiangalie vizuri

Nina plan ya kukuchalanga gol za aibu hadi ukimbie uzi huu

Back
Top Bottom