MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,091
- 1,342
Mbn hii ni sign ya kuzima dataDakika hizo mechi haijaisha ilikuwa zirudi zote na ufungwe.
NimeQuit wapi leta ushahidi ? mimi sina historia ya kuQuit hata nifungwe vipi maana najua ni mchezo.
Hapo si network imekuokoa na Comeback kosa langu lipo wapi ?View attachment 2707828