Dream League Soccer Special Thread

Nakubali mkuu
 
Watu mnajua kutunza siri lumber umebondwa mechi nyingi mfulilizo na MrJobless halafu mmevunga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyo Wakipekee kwa jinsi anavyopata vichapo humu inanipa wakati mgumu kucheza nae coz itahesabika ni uonevu wa wazi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bhs we utajua Game ? Ukiweza kutoa Acknowledgement Kwa wengine ni Rahis kufika Mbal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…