Dream League Soccer Special Thread

nina mashaka na simu yangu, toka iende kwa fundi network iko down sana. Shida sio operator bali ni device yangu na ndio maana mda wote game online ina forfeit
Hivi unachezaje online na rafiki
 
Hivi unachezaje online na rafiki
Unabofya kwenye exhibition kisha friend match ila kabla ya kwenda mnachagua code ya kutumia yaani neno maalumu kabla ya kwenda (kwa text za kawaida,calls nk) ambapo wote mtaandika(na opponent wko) bila kukosea herufi mfano Jamii4 wote tukifanya hyo process na kuandika hilo neno hapo mta play
 
Niliingia ligi ya Online siku toboa hata mechi Moja nilitolewa mapema mno kwenye event ya peninsula challenge .Mimi na kitimu changu cha nyota mbili nikakutana na watu wako full mkoko nasubiri nifanye usajili wa kutosha nikakipige tena
 
Hivi Hamna namna ya kucheza game upate hela mfano hiyo ligi ukishinda unapata faida gani? Nakumbuka kipindi flani nazani ilikua 2018 kuna jamaa alileta game la karata albastini mshindi alipewa dollar mia kama sijakosea nilishindwa kushinda coz simu yangu ilikuaga mbovu ilikua inazaima... Kama kuna game la kulipwa tafadhali naombeni mnijuze
 
Sawa wajuvi wa play to earn watakuja na kukupa mwongozo
 
Update ya sasa hv ya kikuda sana, wachezaj wanachoka mapema mno
 
Uwanja mdogo , alafu hauna coins za kutosha
Kwahyo nifanyeje? Mbona nimemaliz ktk ligi nafas ya kwanza na je hizo coins nazipataje ili kupanua uwanja?
 
Kwahyo nifanyeje? Mbona nimemaliz ktk ligi nafas ya kwanza na je hizo coins nazipataje ili kupanua uwanja?
Haya mambo mengine madogo madogo nenda google nenda YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…