Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Hivi unachezaje online na rafikinina mashaka na simu yangu, toka iende kwa fundi network iko down sana. Shida sio operator bali ni device yangu na ndio maana mda wote game online ina forfeit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unachezaje online na rafikinina mashaka na simu yangu, toka iende kwa fundi network iko down sana. Shida sio operator bali ni device yangu na ndio maana mda wote game online ina forfeit
Unabofya kwenye exhibition kisha friend match ila kabla ya kwenda mnachagua code ya kutumia yaani neno maalumu kabla ya kwenda (kwa text za kawaida,calls nk) ambapo wote mtaandika(na opponent wko) bila kukosea herufi mfano Jamii4 wote tukifanya hyo process na kuandika hilo neno hapo mta playHivi unachezaje online na rafiki
Shukuran mkuuUnabofya kwenye exhibition kisha friend match ila kabla ya kwenda mnachagua code ya kutumia yaani neno maalumu kabla ya kwenda (kwa text za kawaida,calls nk) ambapo wote mtaandika(na opponent wko) bila kukosea herufi mfano Jamii4 wote tukifanya hyo process na kuandika hilo neno hapo mta playView attachment 2123026View attachment 2123027
Umenipa ujanjaGolikipa usimchezeshe mapema ,ina bidi umhesabu mpigaji penalty yaani ile hatua ya kupiga kabla ya kushuti mchezeshe golikipa wako.
Hivi Hamna namna ya kucheza game upate hela mfano hiyo ligi ukishinda unapata faida gani? Nakumbuka kipindi flani nazani ilikua 2018 kuna jamaa alileta game la karata albastini mshindi alipewa dollar mia kama sijakosea nilishindwa kushinda coz simu yangu ilikuaga mbovu ilikua inazaima... Kama kuna game la kulipwa tafadhali naombeni mnijuzeNiliingia ligi ya Online siku toboa hata mechi Moja nilitolewa mapema mno kwenye event ya peninsula challenge .Mimi na kitimu changu cha nyota mbili nikakutana na watu wako full mkoko nasubiri nifanye usajili wa kutosha nikakipige tena
Sawa wajuvi wa play to earn watakuja na kukupa mwongozoHivi Hamna namna ya kucheza game upate hela mfano hiyo ligi ukishinda unapata faida gani? Nakumbuka kipindi flani nazani ilikua 2018 kuna jamaa alileta game la karata albastini mshindi alipewa dollar mia kama sijakosea nilishindwa kushinda coz simu yangu ilikuaga mbovu ilikua inazaima... Kama kuna game la kulipwa tafadhali naombeni mnijuze
ThanksShukuran mkuu
Inatokea hivMsaada nimecheza sana lkn nikitaka kwenda next div inagoma lkn unakuta nimemaliza ligi nafas ya kwanza lkn inagoma.
View attachment 2162538View attachment 2162539
Upgrade kiwanja chako kiwe na capacity kubwaInatokea hivView attachment 2162540
Ongeza ukubwa wa kiwanjaInatokea hivView attachment 2162540
Uwanja mdogo , alafu hauna coins za kutoshaMsaada nimecheza sana lkn nikitaka kwenda next div inagoma lkn unakuta nimemaliza ligi nafas ya kwanza lkn inagoma.
View attachment 2162538View attachment 2162539
Kona nyingi sana mpaka linapoteza ladhaKaribu FIFA View attachment 2162944
Kwahyo nifanyeje? Mbona nimemaliz ktk ligi nafas ya kwanza na je hizo coins nazipataje ili kupanua uwanja?Uwanja mdogo , alafu hauna coins za kutosha
Haya mambo mengine madogo madogo nenda google nenda YouTubeKwahyo nifanyeje? Mbona nimemaliz ktk ligi nafas ya kwanza na je hizo coins nazipataje ili kupanua uwanja?
Amini kwamba mdau ,kidogo mchezaji hoiUpdate ya sasa hv ya kikuda sana, wachezaj wanachoka mapema mno