Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Hivi unachezaje online na rafiki
Unabofya kwenye exhibition kisha friend match ila kabla ya kwenda mnachagua code ya kutumia yaani neno maalumu kabla ya kwenda (kwa text za kawaida,calls nk) ambapo wote mtaandika(na opponent wko) bila kukosea herufi mfano Jamii4 wote tukifanya hyo process na kuandika hilo neno hapo mta play
IMG_20220218_154230.jpg
IMG_20220218_154206.jpg
 
Niliingia ligi ya Online siku toboa hata mechi Moja nilitolewa mapema mno kwenye event ya peninsula challenge .Mimi na kitimu changu cha nyota mbili nikakutana na watu wako full mkoko nasubiri nifanye usajili wa kutosha nikakipige tena
 
Hivi Hamna namna ya kucheza game upate hela mfano hiyo ligi ukishinda unapata faida gani? Nakumbuka kipindi flani nazani ilikua 2018 kuna jamaa alileta game la karata albastini mshindi alipewa dollar mia kama sijakosea nilishindwa kushinda coz simu yangu ilikuaga mbovu ilikua inazaima... Kama kuna game la kulipwa tafadhali naombeni mnijuze
 
Sawa wajuvi wa play to earn watakuja na kukupa mwongozo
 
Update ya sasa hv ya kikuda sana, wachezaj wanachoka mapema mno
 
Back
Top Bottom