Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Wewe jamaa humu ni Kiande hatari bora hata Fene nakumbuka mara ya mwisho kucheza na wewe mwaka jana nikupa kipigo mpaka ukaQuit na kukimbia kusikojulikana kwa muda mrefu ,sasa hivi umeibuka tena.
Wew umerudi tena?
 
Simu yangu ya sasa kimeo tambo langu nimeuza ila sasa hivi kuna hela naisikilizia kwanza nitaibuka na tambo jipya InshaAllah .
Inshallah Allah tabaraka akufanyie wepesi bwa shehe
 
Wew umerudi tena?
Sijarudi kwenye gemu nado simu yangu hii ninayotumia kwa emergency nisikose kuwa online kukosa mambo muhimu ila hali yake haisapoti DLS hata display na touch zinasumbua.
 
Back
Top Bottom