Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Tumecheza game 5, umeshinda moja tena ya kwanza tu zilizobaki nimekuvunja kama ngoma

Unathubutuje kuja kuongea utumbo huu?View attachment 2725724

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwa wewe leo bingwa ila siku kabla ya leo tulicheza gemu 7 ukashinda mbili au umesahau .

Hapo GD 3 na goli 6 nimekupiga sana tu ,weka sita kavu itakuwa new au 7 hiyo hakuna aliyewahi.
 
Master of the thread for the reason
Screenshot_20230308-230510_1.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Now natoa mafunzo kwa anaetaka kujua
Beuty soccer
Incredible attacking tricks
Possessive soccer
Counter attack tricks
Long range goals tricks

Sihitaji ada nachohitaji ni ukubali kuniita master tu

Hizo taarifa zako unazitolea kwenye Vyanzo gani wkt ulitakiwa kupost humu tujione hayo maajab sio unacheza na watu ambao sio wa huu Uzi araf unatamba kifupi

Anza na Wakipekee ukitoka hapo nenda Kwa
Fene ukimaliza mcheck adriz km mpk hapo utakuwa ujafungwa bhs muone Eng ibird hapo utaleta mrejesho mwenyew wkt Mi nakusubiri
Mwenzako adriz hamalizagi maneno, muulize jana nilimfanya nin

Hadi sasa hajui afanyeje maana kashamaliza mbinu zake zote
Mafia Soccer Power ni kama vile Russia tu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbn kuna mtu nilimkula 7 [emoji23][emoji23] humu
 
Now natoa mafunzo kwa anaetaka kujua
Beuty soccer
Incredible attacking tricks
Possessive soccer
Counter attack tricks
Long range goals tricks

Sihitaji ada nachohitaji ni ukubali kuniita master tu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kijana nitakuja kukufunga tena matokeo Yako yote nitayapost humu
 
Hizo taarifa zako unazitolea kwenye Vyanzo gani wkt ulitakiwa kupost humu tujione hayo maajab sio unacheza na watu ambao sio wa huu Uzi araf unatamba kifupi

Anza na Wakipekee ukitoka hapo nenda Kwa
Fene ukimaliza mcheck adriz km mpk hapo utakuwa ujafungwa bhs muone Eng ibird hapo utaleta mrejesho mwenyew wkt Mi nakusubiri
[emoji23][emoji23]mkuu bang kwel yan ww ndo unajiweka rank ya juu
 
[emoji23][emoji23]lkn Bro we ulivyonionea si nilikupa Siku 3 [emoji23][emoji23] na baada ya hizo Siku 3 tulicheza Game 5 na hakuna hata Moja uliyoshinda na Kwa kifupi we Pekee yako ndy uliewaikunifunga Humu Kwa watu niliocheza nao.

So km utaki niwe kwenye Rank za Juu nakuruhusu uombe mpambano tena
 
Kwa sababu nimeuza tambo langu na kubaki na hili la mchongo ,mapumziko rasmi DLS mpk pale nitakapo jaaliwa kununua jipya .

Ila mapumziko mazuri kwani nimehitimisha kwa kumkanda Mr Kiande Fene kwa siku mbili mfulilizo bila kuibuka bingwa , Master nakula short break kabla ya kurudi kuendelea nilipoishia.
 
Nakutaka ww
 
Ukiw

Ukiwa tayari utaniambia nikufunge
 
Back
Top Bottom