Dream League Soccer Special Thread

Yeah asante kwa kuanzisha uzi huu na enjoy hili game, kitu ambacho kinanishinda nashindwa kupanda daraja wakati nakua mtu wa kwanza kwenye msimamo hii inakuaje?
Saizi upo daraja gani?
 
Kitu kimoja nimeona wamekosea ni unapongia International cup wachezaji wanaingiliana unakuta mchezaji mmoja anacheza timu mbili mf. Unaweza Hazard akawa mchezaji wako halafu ukakutana na Belgium na yeye anakuwepo kwa hiyo unakuta kuna Hazard wawili ndani
 
Nimecheza sana hili game 2015. Hakuna game bora duniani la mpira kama hili. Shida ipo kwenye coin tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…