Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Umeanza kucheza DLS Mwaka huu nn
Naweza kuwa nimeanza kabla yako mkuu...maana mimi nilianza 2015......nikapiga 2016,2017,2018,2019 nikapumzika 2020,2021,nikarudi tena 2022 na 2023 kidogo sio kwa moto ule,kikubwa mimi ni mdau wa online match na sio hizi offline coz nawapiga hadi goli 16 so hazina mzuka kwangu na sijihisi kuwa na changamoto yoyote....sasa hii ya 2023 kila nikiingia online na vijamaa vyangu vyenye 45,58 na 52 nakutana na wamba wenye 100 wanaburuza hasa.....ndio maana nikaja na hoja hiyo.....8yrs katika kilinge......
 
Km Una Pesa Mfuko wa sharti njoo nikuuzie Kikosi

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Kikosi na Profile
Screenshot_2023-10-15-17-57-35-15_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
Screenshot_2023-10-15-17-56-13-63_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg

Sent from my CPH2363 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Mi nitacheza na Nani Humu Maskini ya Mungu
Soon nitarudi InshaAllah ndani ya mwezi wa 11 ,nina mzuka wa kutoa dozi humu maana naona toka muondoke watu wameanza kuota vitambi mpaka viande wanakuja kuomba mechi wakati enzi zangu wakikuta screenshots za vipigo ninavyotoa wanakula kona.
 
Back
Top Bottom