Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Haya Wanadream nimeweka bango hapo na nyiny mkipita mlione, ila chonde tafadhali ningeomba msaada wenu wa kifedha na kivinginevyo wa ku-run kesi endapo ndugu bwana adriz ataamua kulifikisha hili jambo katika vyombo vya sheria kwa kutumia logo yake pasi na idhini yake

Nawasilisha.......View attachment 2817111
Hahhahahahahhahahhahahahahhahaahahhaha... [emoji2772]
 
Soon nitarudi InshaAllah ndani ya mwezi wa 11 ,nina mzuka wa kutoa dozi humu maana naona toka muondoke watu wameanza kuota vitambi mpaka viande wanakuja kuomba mechi wakati enzi zangu wakikuta screenshots za vipigo ninavyotoa wanakula kona.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndugu muandamizi hatimae umerejea na tunaona dozi unazotoa
 
Siku ambayo nitakuwa Comfortable ni mpk nitoke huku nilipo .
We ni kiande tu kama adriz tena afadhali yake anakubali kuwa kadundwa we unacheza game dakika 90 full time kabisa ukiona umechuana na mpinzani unadai mtandao

Mara ngap ishu za mtandao ndogondogo kama unavyotoaga ushahid hata kwet zinatokea tunaweka flight mode tukirudisha normal hao tunaingia uwanjani

Ukiona umeingia uwanjani tu hakuna tatizo la mtandao hapo vinginevyo labda tuone wachezaj wako wana-stuck
 
Wala hakuna shida Mi ni Kibonde Bahati Mbaya zaidi Weapo ujawai nifunga ss Sijui unaandika nini
 
Back
Top Bottom