Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Game langu saiv lina ganda ganda sana yan ad linaboa na sim yangu ni Samsung ina gb 64 sijui ata shida ni nini yan nikicheza online tu ata sienjoy kabisa
 
Naomba kuuliza hivi ukimaliza ile level ya legendary na ukaingia ile level ya kucheza na team za taifa kisha unaingia level ganj?

Toka nimeanza kucheza miaka miwili sasa nimekwamia hapo kwenye mashindano dhidi ya team za taifa
 
Ukishinda yatakuja mabara baadae utarudi ligi tena
 
Wanadream mwaka huu hamna game pale, ila ngoja labda kwakuwa hatujalizoea
 
Mimi sijaupdate bado nipe ripoti jipya Lina maajabu gani ?
Kwa upande wangu bado sijaona maajabu

Graphics naona kama wamefeli kimtindo
Pichi imepoteza ubora
Ile vibe ya mashabiki pia naona imepotea kabisa (yani hata ukishindiwa goli 5 kama ile siku ile mashabik hawana kamshange[emoji23][emoji23][emoji23])

Yale makeke yangu ya kulisakata kabumbu naona bado hayajafit ktk hii version mpya mpaka kuna kijihofu chanijia
Casemiro ambae alikuwa hashikiki ktk dimba la kati kwa sasa naona anakimbia tu, hii ni hatari kwa mustakabali wangu, jitihada za haraka zinahitajika kabla sijatolewa katika kiti changu
 
Nilikuwa nataka DLS watoe mpya nianze rasmi operation yangu ya kutoa dozi Kali endelevu humu ,sasa hivi ushindi wako ni kutocheza na Mimi pekee ,sitaki uambulie hata sare Mr Kiande .
 
Mimi sijaupdate bado nipe ripoti jipya Lina maajabu gani ?
Wameongeza ushindani Mkubwa sana ukishinda hata goli Tano kwenye carrier games ww ni hatarri maana game ni ngumu sana wameongeza ushindani, pia ikitokea mchezaji wako kashinda hat trick anapewa mpira.

Kwa upande wa commentary wameonga Mtangazaji Mhispani so unaweza change pia unaweza weka English commentary ambaye wamemongezea mnaneo kidogo tu.

Pia Kuna draft game ambayo unakuta Kuna mastar tupu unachukua unashinda game unapewa money
Kingine kwa upande wa skills wameongeza unaweza ita wachezaji wawili kukaba
Inshort mwaka huu wametoa game Bora sana.
Huo ni kwa upande wangu.
 
Nielekeze jinsi ya kuita wawili wawili nimkabe Messi wa Fene vizuri
 
Wameongeza ushindani Mkubwa sana ukishinda hata goli Tano kwenye carrier games ww ni hatarri maana game ni ngumu sana wameongeza ushindani, pia ikitokea mchezaji wako kashinda hat trick anapewa mpira.

Kwa upande wa commentary wameonga Mtangazaji Mhispani so unaweza change pia unaweza weka English commentary ambaye wamemongezea mnaneo kidogo tu.

Pia Kuna draft game ambayo unakuta Kuna mastar tupu unachukua unashinda game unapewa money
Kingine kwa upande wa skills wameongeza unaweza ita wachezaji wawili kukaba
Inshort mwaka huu wametoa game Bora sana.
Huo ni kwa upande wangu.
Hio draft ipo humo humo kwenye DLS au tofauti ?

Kama kwenye Carrier games wamesema hivyo ni vizuri maana Mimi baada ya kufika stage zote niliacha kucheza carrier ni mwendo wa online tu coz wale napiga hata goli 10.
 
Back
Top Bottom