Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia 3-4-1-2Hivi wadau Mfumo mzuri wa Ku defense kwenye DLS ni upo maana nafunga lakin naruhusj sana magoli
Hii Mkuu mbona wenye 433 wananisumbua sana na wenye 442 Yani kiufupi Mtu anapiga long pass kutafuta winger inakua Rahisi sana kupitika, hamna Mfumo mwingine mkuu nisaidie hapoTumia 3-4-1-2
Utakua unakosea selection.... Hapo tumia mabeki watano au wanne kutegemea na upande unaoupenda kutumia..Hii Mkuu mbona wenye 433 wananisumbua sana na wenye 442 Yani kiufupi Mtu anapiga long pass kutafuta winger inakua Rahisi sana kupitika, hamna Mfumo mwingine mkuu nisaidie hapo
Safi sana, nitashea hii kwa mdogo wangu anapenda sana Games za kwenye simu, ila kwa sasa ikiwa ni karibu miaka miwili tangu upost haya maelezo na maelekezo na mi ndio naiona kwa mara ya kwanza hii postHapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer.
SIFA PEKEE YA DLS
1. Linachukua nafasi ndogo kwenye simu. Pamoja na ubora wake wa graphics bado game hii ina 500MB na ni tofauti na magame mengine yanaanza na 2GB mfano PES.
2. Uhalisia wa wachezani wa timu wanazochezea
Kitu pekee kinachotofautisha game hii na magame mengine ni uwezo wa ku update wachezaji kadri timu mpya zilivyo. Mfano Mess kwenye game hii anachezea PSG na magame mengine bado Mess anachezea Barcelona. Mfano FIFA hadi leo Xavi,Iniesta bado wanakipiga soka. Huko kwingine hata ukimtaka Gaucho au Drogba au Maradona au Arteta au Guardiola utawapata na bado wanacheza mpira. Ili kujua sajiri za ulaya na kwingineko karibu DLS utawajua wachezaji wote current.
3. Wepesi wa kucheza
Game hii haihitaji rocket science ili uweze kucheza kwani vya kuchezea viko 3 tu 1. B kwa ajili ya pass fupi 2. C kwa ajiri ya kuchop,kubadili wa kumchezesha na pass ya juu. 3. A kwa ajili ya shuti na pass ndefu. Vitufe vyote hivi unakadilia kwa kubovya tu ni simple sana kama kuvaa nguo tu.
4. Wachezaji hawatabiriki uwanjani
DLS huwezi kucheza kwa namna moja mfano, uje angle au sehemu fulani ukishuti ni goli au chenga fulani tu. Hili game sio la kukariri kama Real football lenyewe mchezaji akivuka tu mstari wa kati, apige hatua tatu alafu jaza shuti basi ni goli. Hili game ni real kweli yaani kunakipindi hadi unaacha kula.
5. Uwezo wa kucheza kwa kupanda daraja kwa kikosi chako
Huko kwingine unaambiwa chagua timu, na kisha uichezeshe. Huku mambo ni tofauti Kwanza utapewa squad yako na itabidi uipandishe daraja toka Academy, daraja la 4, 3, 2, 1, daraja la Junior kisha ligi kuu (Legendary). Kuna kupanda na kushuka katika ligi hili kwa hiyo sio ni burudani bulibuli. Pia kuna ligi zingine hapo kati yaani mfano tu wa shirikisho na uefa.
NB: Kikosi bora ndicho kinachoshinda. Game ni ya online(kwa ligi zote) na offline kwa friendly match.
View attachment 2099718View attachment 2099719View attachment 2099720View attachment 2099721View attachment 2099722
KARIBU KWA KUPEANA MAUJANJA NA STORI ZA GAME HILI
Best player kwa game hili ni Ngoro Kante na Mousa Sisoko. Hawa ni wachezaji wenye uwezo mkubwa sana katikati kwa maana wanakaba na kushambulia vizuri.
VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MCHEZAJI
1. Acceleration
Kabla ya kumsajili mchezaji yeyote kwanza angalia acce yake ili awe na maamuzi ya haraka. Wengi sana wanaangalia speed tu ya mchezaji bila kuona acc yake. Hata ukimchukua mchezaji mwenye speed 100 ila kama acceleration yake ni 27 ni kazi bure kwani atachelewa kuanza kukimbia na ataporwa mpira mda wote.
2. Stamina
Baada ya kuona acceleration basi angalia stamina yake. Hapa panamwezesha mchezaji kukaba kwa nguvu lakini pia hanyang'anywi mpira kirahisi. Viungo na back wawe na stamina kubwa sana isiwe chini ya 75.
3. Speed
Kitu cha tatu ni pendwa kwa wachezaji wengi wa magame yani kukuimbia kwa kasi hasa kwa fowadi na back za pembeni. DLS wanashambulia sana winga hivyo hakikisha back zako namba 2 na 3 wanakuwa na speed kubwa na acceleration kubwa.
NB: Usimruhusu adui apige kross ni hatari sana, kabla adui hajapiga kross press A ila uwe kwa pembeni yake na umsogee sana ili apige takoling. Takoling ya mbele ni kwa mbali kiasi ili mpira uwahi kuugusa ili kuepusha umeme.
4. Head
Kwa beki za kati head nzuri sana kwani mipira ya kona na kross itasaidia sana kuokoa. Uwezo wa kupiga kichwa ni kwa beki na viungo.
5. Shoot na pass
Kwa fowadi pia lazima uangalie uwezo wao wa kushuti ili hata nje ya 18 uwe unashuti na unafunga. Poor shoot inapelekea kupaisha au shuti kuwa chakula kwa golikipa.
NB. Formation au mfumo mzuri ni 4 4 2 na weka defensive kama unajifunza, moderate kama mchezaji wa kawaida na Attacking kama mzoefu kama mm.
Pia ukifungwa au kufunga unaweza kubadili ili kuendana na mchezo.
Generally vitu ni hivyo hivyo Ila game linazidi kuboreshwa Tu...Safi sana, nitashea hii kwa mdogo wangu anapenda sana Games za kwenye simu, ila kwa sasa ikiwa ni karibu miaka miwili tangu upost haya maelezo na maelekezo na mi ndio naiona kwa mara ya kwanza hii post
Je kuna updates zozote mpya za game yako hii?
Kibonde unatoa maelekezo utasema yaliyomo yamo vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utakua unakosea selection.... Hapo tumia mabeki watano au wanne kutegemea na upande unaoupenda kutumia..
Mfano weka beki watatu pale Kati weka beki wa kushoto mwenye Kasi Ila kulia weka winga/ full beki mwenye Kasi Kasi Trent Alexander anorld...
Kiungo mshambuliaji weka mwenye nguvu ... Na pale mbele weka forward na winger lenye speed ..
Tactical weka DEFENSIVE hapo utawatesa sana
Kinoma, wamefeli sana kwenye emojiEmoj zao sasa hivi hazijakaa unyama kama za zamani ..
Hahhhhhh jioni uje tupige game tatu tujue Nani kibondeKibonde unatoa maelekezo utasema yaliyomo yamo vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nisipo update nini kitatokea?Emoj zao sasa hivi hazijakaa unyama kama za zamani ..
Kwani nisipo update nini kitatokea?
Za sasa hazikeri kama za zamani yaani zimekaa kishamba sana.Kinoma, wamefeli sana kwenye emoji
Sijui aliwaambia nani kila kitu lazima kibadilishwe
Baada ya muda itakuwa haiplay.Kwani nisipo update nini kitatokea?
Nime-update game lipo poa Sana sema sahivi Lina speed Kali sanaBaada ya muda itakuwa haiplay.
Mbona ukiupdate game linarudi na wachezaji wako.. au we imekuaje?Then inakera kuona hakuna mchezaji aliyefikia uwezo wa 90+ kama zamani,na hili suala la kutumia diamond kujenga miundombinu linakera mnooooo mnooooo
Unapunguza vzr tuButton mbona kubwa haiwezekani kuzipinguzq ikawa A,b ,C viduara vidogo ?