Dream League Soccer Special Thread

Hii Mkuu mbona wenye 433 wananisumbua sana na wenye 442 Yani kiufupi Mtu anapiga long pass kutafuta winger inakua Rahisi sana kupitika, hamna Mfumo mwingine mkuu nisaidie hapo
Utakua unakosea selection.... Hapo tumia mabeki watano au wanne kutegemea na upande unaoupenda kutumia..
Mfano weka beki watatu pale Kati weka beki wa kushoto mwenye Kasi Ila kulia weka winga/ full beki mwenye Kasi Kasi Trent Alexander anorld...

Kiungo mshambuliaji weka mwenye nguvu ... Na pale mbele weka forward na winger lenye speed ..

Tactical weka DEFENSIVE hapo utawatesa sana
 
Safi sana, nitashea hii kwa mdogo wangu anapenda sana Games za kwenye simu, ila kwa sasa ikiwa ni karibu miaka miwili tangu upost haya maelezo na maelekezo na mi ndio naiona kwa mara ya kwanza hii post

Je kuna updates zozote mpya za game yako hii?
 
Safi sana, nitashea hii kwa mdogo wangu anapenda sana Games za kwenye simu, ila kwa sasa ikiwa ni karibu miaka miwili tangu upost haya maelezo na maelekezo na mi ndio naiona kwa mara ya kwanza hii post

Je kuna updates zozote mpya za game yako hii?
Generally vitu ni hivyo hivyo Ila game linazidi kuboreshwa Tu...
 
Kibonde unatoa maelekezo utasema yaliyomo yamo vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Then inakera kuona hakuna mchezaji aliyefikia uwezo wa 90+ kama zamani,na hili suala la kutumia diamond kujenga miundombinu linakera mnooooo mnooooo
Mbona ukiupdate game linarudi na wachezaji wako.. au we imekuaje?
Mi waliokua na 90 wapo vilevile.... Na kuhusu coin cheza career mechi au kama ni online jitahidi kugawa dozi upande tier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…