Dream League Soccer Special Thread

Weka code nikukande kama unajiamini lakini,sitaki mbio
 
Master nitakuwepo kuanzia mida ya saa 4 na nusu panapo majaaliwa kutoa dozi matata , nasubiri viande mjitokeze maana bado mna niogopa sana humu.
 
Kiande mwenzio Fene kqnusurika kupigwa Tabulele kama Makolo akaamua acheleweshe muda dakika za mwishoni kukimbilia kwa kipa kama mtoto mdogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji38]View attachment 2861263
Hahhhhhhhhhhh kwahiyo ulivompasua kibonde Fene ukahisi tayari unaweza kucheza na Mimi na nisikifunge Goli tano [emoji16]
 
Hahhhhhhhhhhh kwahiyo ulivompasua kibonde Fene ukahisi tayari unaweza kucheza na Mimi na nisikifunge Goli tano [emoji16]
Hii mechi ya pili Jana nimesikitika sana ,kwa nini sikumpiga kono la nyani Mr Kiande Fene ? DKK ya 21 Tu Kala chuma 3..

Mechi ikaisha hv so Sad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…