Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

adriz ushukuru mwaka huu nimeongezeka busara lasivyo ningewapanga wana humu kama jana nimekukaanga vibayavibaya game zote na mwenyew ukasema basi kwa leo inatosha
 
Attachments

  • Screenshot_20240126-232213_1.jpg
    Screenshot_20240126-232213_1.jpg
    142.1 KB · Views: 7
adriz ushukuru mwaka huu nimeongezeka busara lasivyo ningewapanga wana humu kama jana nimekukaanga vibayavibaya game zote na mwenyew ukasema basi kwa leo inatosha
Kweli vibonde mna tabu [emoji1787] Njooni niwape Darasa
 
Kama mnajiweza kusanyikeni viande wote itengenezwe ligi ili nirahisishe kazi niwachape wote kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom