Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Lakini anaongoza kukutwanga
adriz
Dah!![emoji35][emoji35][emoji35]

adriz nakuomba uwe muadilifu eti unaongoza kunitwanga au mimi kukutwanga

Hii comment ya huyu kiande wa mfano humu imenitia hasira sana
Nguvu ya kuongea upupu huu unaitolea wapi ndugu bwana kiande Wakipekee wakati hujawahi nifunga hata siku moja, droo na mim bado kwako ndoto licha ya michezo yote tuliyocheza



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Dah!![emoji35][emoji35][emoji35]

adriz nakuomba uwe muadilifu eti unaongoza kunitwanga au mimi kukutwanga

Hii comment ya huyu kiande wa mfano humu imenitia hasira sana
Nguvu ya kuongea upupu huu unaitolea wapi ndugu bwana kiande Wakipekee wakati hujawahi nifunga hata siku moja, droo na mim bado kwako ndoto licha ya michezo yote tuliyocheza



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kamwe huwezi kuongoza kwa kunitwanga ukitaka hatukuweka rekodi ila inatokea nakukanda nyingi mfululizo na wewe unanifunga hivyo sometimes.

Siwezi kusema Mimi naongoza kwa sababu sina evidence ya mechi zote tulizocheza na matokeo labda tuanze kuanzia sasa ,hao mashabiki wanaona trends ya humu ndio maana wanasema hivyo.

Ukumbusho: Matokeo ya Jana mechi 4 , Master kashinda 3 Kiande kashinda 1

Cc : Wakipekee
 
Tatizo mnabaki kupepeta mdomo tu code hamuweki....wewe unayetumia name ya penguin nimekuchapa sana tu....weka code hata muda huu
Tunapishana muda hapa Jf nimekuambia chagua siku ambayo uko free ,muda na saa tuje hapa tupeane code nitoe dozi mbona kitu simpo ! sasa wewe unazinguka huku kwa kuogopa ukiongea huku umejificha ...

Kama mkuu wenu viande wa humu Fene ambaye ndiye anawaongoza viande wote anapigwa vichapo vikali wewe Nani usalimike ?
 
Pamoja na kufungwa kwa jumla ya mechi 3 kwa 2 kuna Bango jipya mtu kakandwa kama mwehu 😂😂😂😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂
Screenshot_2024-02-09-23-02-18-780_com.firsttouchgames.dls7.jpg
 
Kwa nini unaogopa mechi na Mimi ?

Nitafute siku ukiwa hauna kisingizio ili nikupige hadi mwenyewe kubaki miziki kuwa Mimi ndio Master wa humu.
Eeeeht naogopa mech Yan Kibonde km we ndy nikuogope mbn ipo wazi zaman nilikuwa Mwanza na nilifunga wote Humu alinifunga alikuwa Eng ibird tu ss hv nipo Moro ndan ndan mtandao wa Shida ndy maana nimetulia hata WhatsApp hakuna Lig nayoshiriki
 
Back
Top Bottom