Dream League Soccer Special Thread

Jifunze game uache kujielezea hivi
 
Eeeeht naogopa mech Yan Kibonde km we ndy nikuogope mbn ipo wazi zaman nilikuwa Mwanza na nilifunga wote Humu alinifunga alikuwa Eng ibird tu ss hv nipo Moro ndan ndan mtandao wa Shida ndy maana nimetulia hata WhatsApp hakuna Lig nayoshiriki
Muda wowote ukiwa location Safi niite niendeleze Dozi halafu kabla ya mechi inatakiwa ukiri humu kuwa haitokuwa na kisingizio chochote hapo ndipo nitakubali tuplay.
 
Muda wowote ukiwa location Safi niite niendeleze Dozi halafu kabla ya mechi inatakiwa ukiri humu kuwa haitokuwa na kisingizio chochote hapo ndipo nitakubali tuplay.
[emoji23][emoji23] Ebu tufanye hiv Anza Kwanza kuongea Ukwel? We Kwa record za Humu Unaweza kujishindanisha na Mi kweli.
 
Jifunze game uache kujielezea hivi
Kweli kabisa mimi sijui kucheza isipokuwa nachojua ninkutoa Dozi Tu ,ndio maana jina langu jipya la timu yangu nimeandika "Mzee wa Dozi" ukikaa kwenye anga zangu sina hadithi mbili zaidi ya Dozi Tu.

Cc : Fene
 
Kweli kabisa mimi sijui kucheza isipokuwa nachojua ninkutoa Dozi Tu ,ndio maana jina langu jipya la timu yangu nimeandika "Mzee wa Dozi" ukikaa kwenye anga zangu sina hadithi mbili zaidi ya Dozi Tu.

Cc : Fene
Shida yenu ndy hii Kwanza muanze kutoa Acknowledge Kwa Tunalokijua Game ndy uje useme huo Upuuz wako km nilifunga wote Humu nikiwa na Yellow Cards only mtasema nn tena niwaelewe
 
[emoji23][emoji23] Ebu tufanye hiv Anza Kwanza kuongea Ukwel? We Kwa record za Humu Unaweza kujishindanisha na Mi kweli.
Ukinifunga siku ya kwanza goli nilikuwa nasoma mchezo wako wako ,mara ya pili nikaQuit mtandao ukawa shida sikuendelea mpk mwisho gemu karibia zote , na siku ya tatu ukala kichapo ukasingizia net wakati hakuQuit na mechi zote tulicheza mwanzo mwisho.

Mimi mtu nikishamsoma basi tena hawwzi kunifunga kizembe mfano wewe hapo nimekusoma soka lako ni "Centric maandazi" formula za kukukaba ninazo ambazo niliweka last day hivyo ukija tena kwangu unakuwa sawa na kiande (Fene ) Tu.
 
Kijana Mi Simu yng haina tatzo la kuquit hata mtu akipiga Simu nishakuambia now nipo Moro ndan ndan huku net Shida na Ndy Ushind wako wa mech 1 tu uliutolea hapo lkn we huna Uwezo wa kunifunga hicho ndy Ukwel na Kila Mtu anajua ilo kuwa we uwezi kunifunga
 
We kiande unapata wapi nguvu ya kuongea upupu wote huu wakati siku ya mwisho nimekukalisha na hilohilo jina lako "Mzee wa dozi"

Inashangaza!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndio master of tactics humu, adriz ukiacha unafki unaweza lithibitisha hili humu kwa wanasoka

Ni ngumu Fene ukamuingiza katika mfumo na akaganda kwa muda mrefu chap tu kashajizingua tofauti na ilivyo kwake akikuingiza katika mfumo utaomba haleluya
Wakipekee licha ya maneno yake anayoyatupa hadi leo hajawahi nifunga, adriz anaangaika kwa waganga na kila siku kudai wanamtapeli maana hata akipata dawa ikifanya kazi siku moja yanayofuata ni mateso
Amethubutu hadi kubadilisha jina eti maelekezo ya babu[emoji23][emoji23]
MrJobless baada ya kunifunga siku yake moja ndio inayompa jeuri siku iliyofuata alishindwa kunifunga tulitoka sare
Hii yote kuonesha Fene ni master of tactics ni ngumu kumuingiza katika mfumo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Waulize wenzio [emoji23][emoji23] Wakipekee & Eng ibird tulikuwa league 1 nan aliechukua Ubingwa watakukataza haya Mawazo ya kuja kunipa Sifa Humu ndani
Mkuu usitumie nguvu kubwa humu kila mtu najua kiwango chake we n next level NI vile watakaza Tu fuvu...
Angalau kidogo Eng ibird anaweza kukutambia kidogo.. sema itabidi mcheze Tu kumaliza ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…