Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Habarri ya majukumu? Ukiacha na dls 2024 ni game gani zaidi zuri La mpira kucheza kwenye ram ya 4 ?? Natanguliza shukrani kwa msaada
 
Soon nataka nianze kutoa Elimu ya DLS [emoji23][emoji23][emoji23] mjipange tu maana huku network imekuwa Jay na Mith sn kuwafundisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni Arsenal tu na Team 80 only rates
Screenshot_2024-07-08-19-50-10-48_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
 
Back
Top Bottom