Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Dream soccer siku hizi naiona nyepesi sana, siinjoy kucheza hii game tena. Raha ya game upate ushindani mgumu.

Kuna haka kagemu upande wa graphics na commentary sio kazuri kivile ila ni katamu sana kana ugumu fulani, jaribuni mje mtoe maoni.
Kanaitwa PRO LEAGUE SOCCER (PLS)
IMG_20240814_164157.JPG

Hakikisha unaweka professional level
Screenshot_20240814_164013.jpg

Screenshot_20240814_164037.jpg

Kazi kwenu wapenda gemu za mpira.
 
Attachments

  • 292F70FA-87BA-4AE4-8533-ABB08129184F.png
    292F70FA-87BA-4AE4-8533-ABB08129184F.png
    790.3 KB · Views: 6
  • 73123B81-CBED-464D-AB2B-F8B8BB3FD19E.png
    73123B81-CBED-464D-AB2B-F8B8BB3FD19E.png
    911.3 KB · Views: 7
Dream soccer siku hizi naiona nyepesi sana, siinjoy kucheza hii game tena. Raha ya game upate ushindani mgumu.

Kuna haka kagemu upande wa graphics na commentary sio kazuri kivile ila ni katamu sana kana ugumu fulani, jaribuni mje mtoe maoni.
Kanaitwa PRO SOCCER LEAGUE (PLS)
View attachment 3069929
Hakikisha unaweka professional level
View attachment 3069930
View attachment 3069931
Kazi kwenu wapenda gemu za mpira.
Msaada kk wa hili game jins ya kulipata
 
Magoli mawili umeshinda wachezaji wakiwa wamesimama haukuketa fair play, mtandao ulipozingua .Ila yote kwa yote umenifunga kihalali mtandao kiujumla ulikuwa vizuri kasoro moment mbili amabazo wachezaji walisimama na wewe ukashinda kwenye moments zote hizo magoli mawili.
😀😀😀unajitetea nimekupiga 5G
 
Back
Top Bottom