DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Poa goTujaribu tena ikishindikana basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa goTujaribu tena ikishindikana basi.
OkPoa go
Leta code ukimalizaNgoja nilishushe tena
View attachment 3070393
Kaka hutaki hata nikumbushieLeta code ukimaliza
Nataka nitangaze ufalme humu kisha mods wafunge uziKaka hutaki hata nikumbushie
Duh sawaa mkuuNataka nitangaze ufalme humu kisha mods wafunge uzi
Leta codeNataka nitangaze ufalme humu kisha mods wafunge uzi
Kwa wenye mabando ya kutosha sawa ila exbition n nyepesi sana.Mimi ni DLS tu , wengine sielewi kabisa . DLS ndio haina ugumu ndio maana Mimi sichezi ligi kabisa zaidi na watu online, events ,league na friend match tu.
Kagem gani akoKatamu sana unamfinya mtu anafinyika, unaenjoy kucheza. DLS naona kabisa imeizidi graphics, commentary na vingine kidogo ila hiki kigemu ni kitamu sana.
Live haitumii mbs sanaKwa wenye mabando ya kutosha sawa ila exbition n nyepesi sana.
😂😂😂Nakukubal sana mkubwa 😂Na ulete screenshot ya kitakachokukuta hapa
Ntajaribu mkuu nimfue DR SANTOSLive haitumii mbs sana
Exhibition ndo inakula mbs kwa sababu ya ads jaribu siku moja
PLS, fuatilia mtiririko wa comment zangu utakaona.Kagem gani ako
Wewe hata nifunge Kitambaa machoni hautoboi.Cheza na viande wenzako kwanza
Mi nitarejea tena mwishon mwa mwaka nikishavuta chombo kipya
Mpira unajua haswa siyo kama viande wengine , nitakubali wewe mfalme tukikiputa mechi 3 au 4 za kibingwa.Nataka nitangaze ufalme humu kisha mods wafunge uzi