Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Team yako inaitwaje maana nimekaa kwenye hii tier mpaka basi... Napanda tier two nalud tatu kila sikuTier 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team yako inaitwaje maana nimekaa kwenye hii tier mpaka basi... Napanda tier two nalud tatu kila sikuTier 3
Xzibits fc😀😀 lazima tushawahi kutana tuTeam yako inaitwaje maana nimekaa kwenye hii tier mpaka basi... Napanda tier two nalud tatu kila siku
Yangu Oldcastle...😃Xzibits fc😀😀 lazima tushawahi kutana tu
Mimi ni mzee wa classic christmass tree formation 4-3-2-1
Tutakutana tu kwenye pita pita 🤣Yangu Oldcastle...😃
Panda uludi tier 3 sasa alafu muda gani wewe unapenda kuchezaTutakutana tu kwenye pita pita 🤣
Mda wowote hasa niliwa day off nashindaga dls ila sana sana usikuPanda uludi tier 3 sasa alafu muda gani wewe unapenda kucheza
Inshort wanaotumia majina ya team za bongo hawajawai nifunga😃Kuna jamaa anajiita simba sports club hua namcheka sana lazima nimkande tu nikikutana nae
😃😃😃 Napambana nionje tier one😃😃Mda wowote hasa niliwa day off nashindaga dls ila sana sana usiku
Nasikia wanabonda kweli mimi sijawahi vuka tier 3😃😃😃 Napambana nionje tier one😃😃
Mkuu tier two hata kusurvive sijawai napanda nakula vipondo vyangu nalud zangu tier tatuNasikia wanabonda kweli mimi sijawahi vuka tier 3
Rating ya kikosi chako ni ngapi?? Mimi mfumo unaonisumbua ni 5-3-2 yaani huyu lazima anifungeMkuu tier two hata kusurvive sijawai napanda nakula vipondo vyangu nalud zangu tier tatu
Sema saiv naendelea kurekebisha makosa nikijipata soon tier one nafika
Shida yangu sijui kukaba na Nina mpira mbovu kama wa tenhag😃😃😃😃pira objective kama robertinho😃😃
Ah download 2024Mimi Bado ninalo la 2019
Rating yangu ni 94.4Rating ya kikosi chako ni ngapi?? Mimi mfumo unaonisumbua ni 5-3-2 yaani huyu lazima anifunge
Download current mkuuMimi Bado ninalo la 2019
Kipindi hicho mimi ni noob, nilikua natumia 5-2-1-2 nilikua nawatesa kweli ila nikaja badili nilivokua na max squad hua napendelea striker moja kwaajili ya counterRating yangu ni 94.4
Me natumia ile 442 diamond shape wanayokaa 4-1-2-1-2 ndo formation niliyozoea...
Labda nibadilishe formation maana hii tangu 2014 natumia sijawai badili
Mimi kama diego simeone striker mmoja mbele ni mwiko...Kipindi hicho mimi ni noob, nilikua natumia 5-2-1-2 nilikua nawatesa kweli ila nikaja badili nilivokua na max squad hua napendelea striker moja kwaajili ya counter
Kipindi hiko nachezea beki tano pasiMimi kama diego simeone striker mmoja mbele ni mwiko...
Ngoja network ikikaa vzr tutacheza then unipe suggestions formation gani nzuri inanifaa
😂😂😂🙌Mkikutana wote wa mpira huo midfielder wanaweza wasishike mpira😂😂😂ni pasi moja imetupwa kwa mabeki mbele hukoKipindi hiko nachezea beki tano pasi
Mbili ya tatu ni couter 🤣🤣